Wanawake wenye umri chini ya miaka 25 ni changamoto katika ndoa

Wanawake wenye umri chini ya miaka 25 ni changamoto katika ndoa

Acha uoga oa uzeeni we huoni wakina mengi. Sasa hivi Jilie tambi gizani na kuzisaka Sana. Enjoy urself! Who knows labda utaoa miss Tanzania 2046
Sidhani kama zile ndoa zao zina lengo la kupata m/watoto. Ila yote ni maisha tu.
 
umri haumtofautishi mtu.
tabia za mtu za asili hazibadiliki bali zinaimprove na kubadili style.
kama mtu ni muhuni below 25 atajionesha ila above it atajificha though bado atakua muhuni.
Kweli tupu.
1471506035071.jpg
 
Tafuta bint mcha mungu na anaelelewa na familia ya yenye maadili ya kumcha mungu unaweza kupata wa umri chini ya 25 aliyetulia
Hao ni wapendwa mbele za macho ya watu hasa kanisani.

Watafanya usafi na kupamba kanisa kila juma,

wataimbisha mapambio na nyimbo za kuabudu,

kila semina watahudhuria ila ukimkuta ktk 18 zake unaweza sikitika sana.

Huyu kwao ni walokole na ukimuona anaimba wawezasema mungu yupo hapa ila....
 
Vumilia naye mbona cc tunatenda dhambi ila mungu anatusamehe, ndoa inahitaji uvumilivu, ushauri, soma vitabu magazine, ili upate elimu ya kugeuza hisia zake, mfano kama ulikuwa unafanya Mara moja kwa cku fanya mchana, ucku, a subuhi, endelelea kumpa doze za maralaria ataonekana, mfanye, mke wako awe rafiki yako jifanye mjinga ishi nae vinginevyo utaoa asana

Unaweza vumilia ila maradhi hutayazuia kwa kuvumilia.

Ingekua hakuna maradhi ingekua rahisi kusema ni utoto akikua ataacha ila ni tofauti kabisa.
 
Mimi nishawahi somesha kabinti chuo, tena nilikakuta kanasoma diploma nikakafanyia mpango kakaanza bachelor bila hata boom, kaliishia kunivuruga mzee mzima kidogo nipagawe ila nikayamaliza kimya kimya.

Mwingine wa age hizo hizo nikamuweka kinyumba kabisa, kuna marafiki walinionya ila nikawa siwaelewi, labda kwa vile kalikuwa kazuri utafikiri kamechorwa, huyu naye nikam surrender..

Kitu common kwa hao wote, mtoto ni mtoto tu hadi akue, akomae. Baadae nilihamia kwa wazee wenzangu, hao kwa kweli hata mkivurugana unaona kabisa it was reasonable.


Partner anatakiwa naye atake kuwa kwenye relationship, lakini hutu tudogo twetu mara nyingi sio hivyo. Wewe uko siriaz, mwenzio yuko kwenye fasheni... what would u do?
FIVE STARS!
 
Hao ni wapendwa mbele za macho ya watu hasa kanisani.

Watafanya usafi na kupamba kanisa kila juma,

wataimbisha mapambio na nyimbo za kuabudu,

kila semina watahudhuria ila ukimkuta ktk 18 zake unaweza sikitika sana.

Huyu kwao ni walokole na ukimuona anaimba wawezasema mungu yupo hapa ila....
Mmh ila bado naamin wapo wasafi
 
Kinachokuuma ni yeye kutumia simu uliyomnunulia kuwasiliana na masimela...
Pole mkuu, wakati fulani ni bora kuoana na mja ambaye ameshamaliza ujana.
 
Mimi nishawahi somesha kabinti chuo, tena nilikakuta kanasoma diploma nikakafanyia mpango kakaanza bachelor bila hata boom, kaliishia kunivuruga mzee mzima kidogo nipagawe ila nikayamaliza kimya kimya.

Mwingine wa age hizo hizo nikamuweka kinyumba kabisa, kuna marafiki walinionya ila nikawa siwaelewi, labda kwa vile kalikuwa kazuri utafikiri kamechorwa, huyu naye nikam surrender..

Kitu common kwa hao wote, mtoto ni mtoto tu hadi akue, akomae. Baadae nilihamia kwa wazee wenzangu, hao kwa kweli hata mkivurugana unaona kabisa it was reasonable.


Partner anatakiwa naye atake kuwa kwenye relationship, lakini hutu tudogo twetu mara nyingi sio hivyo. Wewe uko siriaz, mwenzio yuko kwenye fasheni... what would u do?
Teh teh mzee wa "mastory", nakuaminia
 
wanawake wapo wengi sana wenye tabia nzuri kama umuelewi piga chini jipange uvute mwingine sio rahisi kujirekebisha tabia hawa viumbe
 
Nashanagazwa na huu msemo: ukimchunguza sana bata huwezi kumla na unatumiwa sana na wadada, hivi! Ni kweli MTU anakucheat halafu unaona powa tu kisa utashindwa kumla bata? Ua not serious
Aisee. Kuna ukweli lakini.
 
Back
Top Bottom