Wanawake wenye umri chini ya miaka 25 ni changamoto katika ndoa

Wanawake wenye umri chini ya miaka 25 ni changamoto katika ndoa

Kama mtumishi ni kila baada ya miaka 2 unampa kitu ndani ya miezi 8 anao 3 nakwambia lazima atulie.
Hiyo ni dawa kwa mabinti wajasiri ktk rika hilo maana kwa walioajiriwa ni ngumu kupewa likizo ya uzazi kabla ya kupita miaka mi3 baada ya kupata likizo hiyo.
 
wazehe wetu walikuwa wanazaa haraka kwasababu mama zetu walikuwa na tabia akikasirika anamwambie baba anataka kwenda kwao wakaona huu ni utoto dawa ikawa kumzalisha fasta. ila wasichana wa dar duh huwezi kuwazalisa hivyo kwanza anakupa masharti kuwa mtoto ni 1 tu ukitaka mwingine baada ya miaka 7 na huku anakutibua ile mbaya hadi unachoka, wengine tumezeeka machoni kisa kelele za mke ndani
 
Kama mtumishi ni kila baada ya miaka 2 unampa kitu ndani ya miezi 8 anao 3 nakwambia lazima atulie.
Hapo nakupa [emoji109] [emoji109] ngoja hii mbinu itumike.
Kila siku kunyonyesha na majukumu mengine hatapata huo muda wa kuwaza ujinga.
 
wazehe wetu walikuwa wanazaa haraka kwasababu mama zetu walikuwa na tabia akikasirika anamwambie baba anataka kwenda kwao wakaona huu ni utoto dawa ikawa kumzalisha fasta. ila wasichana wa dar duh huwezi kuwazalisa hivyo kwanza anakupa masharti kuwa mtoto ni 1 tu ukitaka mwingine baada ya miaka 7 na huku anakutibua ile mbaya hadi unachoka, wengine tumezeeka machoni kisa kelele za mke ndani
Na hizi njia zao za uzazi wa mpango hakuna ujanja. Unakuta kajiweka mavibanzi ya miaka mi5 na haka katabia kakupiga magepu matefu unajikuta umezeeka una vitoto vipo primary.
 
Amani iwe nanyi wana- JF nyote,

Katika maisha yangu nilikuwa na ndoto za kuoa mapema ili nikabiliane na jukumu la malezi nikiwa bado kijana mwenye nguvu.

Nilipenda kufunga ndoa nikiwa na umri wa miaka 25 hivyo shemeji/wifi yenu angekua chini yangu kidogo kiumri.

Baada ya kupata mchumba na kutangaza nia pande zote niliamua kuvuta muda ili niweze kumsoma vizuri. Nilimnunulia smart 4n ili tuweze kuwasiliana vizuri pamoja na vitu vingine vilivyopo ndani ya uwezo wangu.

Changamoto nilizokumbana nazo ni suala zima la uaminifu katika uhusiano wetu. Nimegundua akiwa na mahusiano na wanaume kadhaa wanaoishi kijijini kwao na huwasiliana kwa kutumia simu niliyomnunulia.

Pamoja na mimi kufahamika kwao na kupata heshima kubwa sana ila binti huyu anashindwa kutulia na kuanza kuijenga familia yake vyema.

Nimejaribu kutafiti rika hili la mabinti na kugundua wengi wao bado wanaongozwa na tamaa zaidi kuliko malengo.
Pole Man. Sisi bado tunaendelea kukabiliana na hizo changamoto. Wa kwangu anavituko LAKI NANE ila ni kiri ni MWAMINIFU. Mpaka sasa hajanipa sababu yeyote kumuhisi kuwa ni msaliti. Achilia mbali kumfuma.

Kuishi na Mwanamke sio jambo la mzahaa. Kama walimuweza ADAM mwanadamu wa kwanza ambae hakuzaliwa bali aliumbwa sembuse Mimi?

Biblia ikasema ymtuishi nao kwa AKILI. Kuishi kwa Akili naama yake ni kujitahidi kumfahamu MPENZI wako kabla hujaamua kuanika mahusiano yenu. Mara nyingi Ndoa huvunjika kwa kushindwa kuelewana.

Kumuelewa Mwanamke kiasi cha kuenda nae Sawa kuna hitaji busara and tireless efforts. Usitangaze kutaka kumuoa. Ni either UOE au UKAUSHE.
 
Hizi smartphones zimekuja na virusi kwenye mahusiano/ndoa

Tatizo sio umri ni kujielewa siku izi hata 30-40 yrs wanakutumia picha za ajabu wasap.
 
Pole Man. Sisi bado tunaendelea kukabiliana na hizo changamoto. Wa kwangu anavituko LAKI NANE ila ni kiri ni MWAMINIFU. Mpaka sasa hajanipa sababu yeyote kumuhisi kuwa ni msaliti. Achilia mbali kumfuma.

Kuishi na Mwanamke sio jambo la mzahaa. Kama walimuweza ADAM mwanadamu wa kwanza ambae hakuzaliwa bali aliumbwa sembuse Mimi?

Biblia ikasema ymtuishi nao kwa AKILI. Kuishi kwa Akili naama yake ni kujitahidi kumfahamu MPENZI wako kabla hujaamua kuanika mahusiano yenu. Mara nyingi Ndoa huvunjika kwa kushindwa kuelewana.

Kumuelewa Mwanamke kiasi cha kuenda nae Sawa kuna hitaji busara and tireless efforts. Usitangaze kutaka kumuoa. Ni either UOE au UKAUSHE.
Amakweli kuishi na hawa binadamu ni kazi sana.

Wanaume wengi wanapata maradhi ya shinikizo la damu kutokana na hawa binadamu walotokana na kaubavu ketu.

Mungu atutie nguvu kwakweli.
 
Kwenye mahusiano hakuna umr,ni akili tu ya binti na tabia zake mi wife wangu nimemuoa ana 21 na tunashare kila kitu mpka hzo smartphone na cjawah kuona kitu chochote kinachoashiria usaliti
 
Back
Top Bottom