Wanawake wengine .......

Wanawake wengine .......

hakunipa wala hajajua mi nilipokosa usingiz nilitafuta cha kufanya nikajikuta nina simu yake ndo nikapembua kama si kuperuz

pole wakati mwingine itakuletea shida hiyo...'usijikute' tu unashika simu ya mwenzio kama hamna mazoea hayo
 
hahahahahaha!!!!!!!!!!!!!!!! acha nicheke kama mazuri kuna mbongo fleva mmoja aliimba ubinadamu kazi! ukiwajua hawakusumbui!

Mwingine aliimbaa UKISIKIAA PAA UJUE LIMEWAPATAA
 
pole wakati mwingine itakuletea shida hiyo...'usijikute' tu unashika simu ya mwenzio kama hamna mazoea hayo

Kwa nini asiishike wakatii ni ya mume wakee wanaume wanatofautiaanaa na sie wanawake tunatofautianaaa hasa mambo fulanii
 
Ndio ujuee kupendwaaa rahaaaa achaaaa Mwanaume na akili zakee hawezii tu akapendaa hataa hakujuii hata ungemtumia picha za K yakoo atakuonaa bogaa tuu,lol usiemdhania kumbee ndiee lol

hapooooo chacha kwenye picha umenikumbusha nilichekaje watu wanajitaid kuweka pozi za tofaut !!!!!! feel sorry for them kwa jitihada zao
 
hapooooo chacha kwenye picha umenikumbusha nilichekaje watu wanajitaid kuweka pozi za tofaut !!!!!! feel sorry for them kwa jitihada zao

Wachaaa maharage ya mbeyaa maji mara mojaa yashaivaaa,wanawake alieturogaa ashapotelea kwenye ndege ya malaysiaa
 
Yule member, senior expert member,premium member au yule ambae hajaweka avatar?

yule senior expert member. Acha kujifanya humjui wakat unamjua vizr alaaa!.... Ntaku............!
 
hapooooo chacha kwenye picha umenikumbusha nilichekaje watu wanajitaid kuweka pozi za tofaut !!!!!! feel sorry for them kwa jitihada zao

Kumbe ishakuwa next level nkajua ni namba za simu tu
dadeki mwanaume yeyote atakaenipm nammiminia mapicha yangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom