Wanawake wengine .......

hahahaaaaa! Inaoneshwa uliwahi kukumbwa na hayo mambo....... Hapo ndio ujue kuwa mwanaume kama alivyo kiumbe mwingne ni dhaifu kwahyo anaweza kunasa kwenye mtego huo kwa namna moja au nyingne..... Tuombeane tu hlo pepo lipitie mbali

niliona nikanyamaza! nililikemea hilo pepo lipite mbali kbs, sasa nakemea hilo lako la joto lishuke liwe baridi!ukitegwa usitegeke namsaidia wifi!
 
niliona nikanyamaza! nililikemea hilo pepo lipite mbali kbs, sasa nakemea hilo lako la joto lishuke liwe baridi!ukitegwa usitegeke namsaidia wifi!

Hahhhhahhhhahhha aiseeee mi nilidhan mwenyewee kumbe hadi na nyiee mnaonaaa loll Pm kuna mambooi
 
niliona nikanyamaza! nililikemea hilo pepo lipite mbali kbs, sasa nakemea hilo lako la joto lishuke liwe baridi!ukitegwa usitegeke namsaidia wifi!

hahahaaaaaaaa! We mkaree, utakuwa umenisaidia sana. Lakn naona kama ni vigum kwasababu wanaume ninaowajua mm unaweza kudhan katulia kumbe amebadlisha staili ya uchezaji badala ya pm, fb, whatssap na sim msg sasa anacheza na note book na lain mpya usioijua ww
 
Sheria za Jf zinazuiaa na tukiwataja hapaaa hutaaminii bora fisi anaeliaa kuliko alienyamaza kimyaaaa utachokaaaa

kweli simba mwendapole...... Lakin yawezekana hakujua kuwa anayemnyemelea ni mume wa ntuu kwahyo tusimlaum sana
 
hahahaaaaaaaa! We mkaree, utakuwa umenisaidia sana. Lakn naona kama ni vigum kwasababu wanaume ninaowajua mm unaweza kudhan katulia kumbe amebadlisha staili ya uchezaji badala ya pm, fb, whatssap na sim msg sasa anacheza na note book na lain mpya usioijua ww

hayo yapo na huwez kumchunga mtu na wapo wapole ni kama wewe mpolee ila unachepuka uwongo?ni vzr ukawa unafaham aina ya mtu uliyenaye ujue unakaaje yeye acheze ngoma zote ila nikipata nafasi nitajua!
 
hayo yapo na huwez kumchunga mtu na wapo wapole ni kama wewe mpolee ila unachepuka uwongo?ni vzr ukawa unafaham aina ya mtu uliyenaye ujue unakaaje yeye acheze ngoma zote ila nikipata nafasi nitajua!

Yap pia wanaume wengine wanajiheshimuu wanakupimaa tu kuona akili yako imekaajeee
 
Sio tabia nzuri mtoto wa kike kushobokeaa mwanaume hata haumjuiiiii bora hataa kama mnaonana face to face

walio wengi wamechanganyikiwa na wanatamaa ya kuolewa hyo nayo ni moja wapo. Kuna siku mm yalitaka kunitokea ya ndoa ya mkeka pasipo kujua hili wala lile huku akisaidiwa na mama yake.... Aisee watu wengne
 
umesema kweli bidada, kuna siku tulikwaruzana na MR sikupata usingizi nikachukua cm yake nikaingia jf nadhani alisahau ku log out,aisee nikawa nasoma PM zake nilichoka yani wale mastaa wa jf wanajilengesha rahisi huwa nikisoma coment zao naishia kucheka!

oops ww enhance mlikwaruzana kisha ukapata muda wa kushika simu yake /I mean akakuachia simu yake uperuz JF?
 
Last edited by a moderator:
hayo yapo na huwez kumchunga mtu na wapo wapole ni kama wewe mpolee ila unachepuka uwongo?ni vzr ukawa unafaham aina ya mtu uliyenaye ujue unakaaje yeye acheze ngoma zote ila nikipata nafasi nitajua!

mmmh! Siwez kujiuliza kama unanijua ila najua umeongozwa na kauli yangu...... Lakn yote hayo ni tamaa ya mwili na ni vigum kwa mwanaume kujinasua kwenye mtego wa mwanamke kuliko mwanamke kujitoa kwenye mtego wa mwanaume.... Hata Adam na SAMSON ni mashahidi
 
Last edited by a moderator:
oops ww enhance mlikwaruzana kisha ukapata muda wa kushika simu yake /I mean akakua simu yake uperuz JF?

hakunipa wala hajajua mi nilipokosa usingiz nilitafuta cha kufanya nikajikuta nina simu yake ndo nikapembua kama si kuperuz
 
Last edited by a moderator:
Aisee hata mm nawashangaa hawa viumbe.. Mke wa mtu kajilengesha mwenyewe nishamkataaga lakini wapi nikamtandika mara moja lakini masharti kibao eti ana wivu sana na ananipenda nikamtolea uvivu kuwa nina mke bana na yy ana mume kwahyo tusisumbuane na tuachane tuheshimu ndoa zetu

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom