Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,002
- 72,284
Hata sisimizi ana mke wake....
Hataa simba ana mkeee
Hata sisimizi ana mke wake....
ina maana huna makofi ya emergence....mtu anaongea kitu cha hivyo halafu unavumilia?Inakuwaje mke wa mtu, anajilengesha kwa mwanaume aliye na mke. Kisha mwanamke anamwekea sharti jamaa kuwa lakini yeye (mwanamke) eti hapendi kushea ilhali yeye mwenyewe ana mume.....!!!
panya wanategua mitego na wanaikwepa iweje nyie iwashinde?
Hata sisimizi ana mke wake....
Hata humu wamo wanajifanya wameolewaa lakin malayaa tu
ww acha kufananisha panya na nguvu ya papuchi...... Papuchi inasumaku kwa mwanaume kama vile ya chatu kwa mbwa.aisee acha kabisa ile kitu kama huamini muulize lara 1 anavyovuta waume za watu
kweli kabisa
sioni kitu kinachoweza kushinda maaumuzi yako!tena kwa mke wa mtu na amejilengesha mwenyewe hustuki lo! na we pia una mke!!!!!
Hata humu wamo wanajifanya wameolewaa lakin malayaa tu
unauliza jibu...... Labda nikuulize ww ni KE au ME?
umesema kweli bidada, kuna siku tulikwaruzana na MR sikupata usingizi nikachukua cm yake nikaingia jf nadhani alisahau ku log out,aisee nikawa nasoma PM zake nilichoka yani wale mastaa wa jf wanajilengesha rahisi huwa nikisoma coment zao naishia kucheka!
Mi hua nawapimiaa tuu halaf mtu anakusemaa Pm yaan hajuii kama unamchoraa ,kujipendekeza kwa wanaumee wa watu lakin hapa wapo kimyaaa hahhhhhhahhhhahhhahhha
sijauliza nimekushangaa kama una mke afu unabebwa na upepo kirais hivyo!!!! kikija kimbunga itakuwaje? me ke.
ndo mana hajatokea kwenye huu uzi aiseeeee!
ndo mana hajatokea kwenye huu uzi aiseeeee!
Mi hua nawapimiaa tuu halaf mtu anakusemaa Pm yaan hajuii kama unamchoraa ,kujipendekeza kwa wanaumee wa watu lakin hapa wapo kimyaaa hahhhhhhahhhhahhhahhha
ok! Basi sitaendeleza majibizano. Kwasababu ntakuwa naongea na mtu ambaye halijui joto bali analijua baridi kwahyo mtu kama huyo kumfahamisha namna joto lilivyo ni ngum kukuelewa...... Nafikir ungekuwa me usingebisha kiivyo
lakin ataanzaje kujipendekeza wakat hawajuan na huenda wapo mikoa tofauti?? Hvi linawezekana hilo?
huko pm ndo tunajua nani nani anatokea wapi anafanya nini, distance sio issu sana makubaliano! kwa ufupi wanaanza na kumsifia ooh mara unachangia vzr, nimependa avatar yako mengine yanafuata hahahaha! lol nikikumbuka nacheka mwenyewe!