Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,080
- 165,195
yule senior expert member. Acha kujifanya humjui wakat unamjua vizr alaaa!.... Ntaku............!
Senior expert ninao wawili unamsema mwenye avatar ya mtoto, au mzee?

Kumbe ishakuwa next level nkajua ni namba za simu tu
dadeki mwanaume yeyote atakaenipm nammiminia mapicha yangu
mm simjui hata mmoja. Ehee hebu niambie ulipogundua anamchombeza faza hausi ulimfanyaje huyo kiruka road
yule senior expert member. Acha kujifanya humjui wakat unamjua vizr alaaa!.... Ntaku............!
Wala hata sikushtukaaa nilibyedaa nikaona ni vidampa tu maana sitishikiiii wakati nazaliwaa nilianzishiwaa kuogeshewaa maji yaliyochanganywaa na asalii sina shidaa
Ole wako nizikamateee utajutaaa kunifahamuuu mamaeeeeee
Mmmhh sio gold member kweliii hebu nidokezeee
Wala hata sikushtukaaa nilibyedaa nikaona ni vidampa tu maana sitishikiiii wakati nazaliwaa nilianzishiwaa kuogeshewaa maji yaliyochanganywaa na asalii sina shidaa
Ndio naishikaaa naangaliaa yotee
mmh! Usije ukahisi ni mmeo sio yeye bhana
Mkwara tu, usinitishe mie....
Senior expert ninao wawili unamsema mwenye avatar ya mtoto, au mzee?
Senior expert ninao wawili unamsema mwenye avatar ya mtoto, au mzee?
:baby::baby::baby:😛hoto:😛hoto:😛hoto::wave:
Kumbe ishakuwa next level nkajua ni namba za simu tu
dadeki mwanaume yeyote atakaenipm nammiminia mapicha yangu
Niliporudia kusoma ndo nimekuelewaaa
Usitaje ya kinywaji tafadhali😕😕