Wanawake wengine .......

Wanawake wengine .......

umesema kweli bidada, kuna siku tulikwaruzana na MR sikupata usingizi nikachukua cm yake nikaingia jf nadhani alisahau ku log out,aisee nikawa nasoma PM zake nilichoka yani wale mastaa wa jf wanajilengesha rahisi huwa nikisoma coment zao naishia kucheka!

Mi hua nawapimiaa tuu halaf mtu anakusemaa Pm yaan hajuii kama unamchoraa ,kujipendekeza kwa wanaumee wa watu lakin hapa wapo kimyaaa hahhhhhhahhhhahhhahhha

Haya mambo haya ya pm basi tu ngoja niendelee kuwekea moyo wangu kufuli
 
analiwa na jini ana beba mimba ya pepo anazaa ibilisi afu anakuja kuomba ushauri jf!!!!

Mara mia kujitongozesha kuliko kumsema mtu maneno ya uongo
halafu huyo unaenisemea nalala na kuamka nae
aaagggrr muda huo ananisimulia huo umbea wako tumepandishia miguu kwa raha zetu
tunakuchora tu na vikoment vyako hapa kujifanya kibaunsa
kumbe baunsa kinyambe ptuuuu
 
analiwa na jini ana beba mimba ya pepo anazaa ibilisi afu anakuja kuomba ushauri jf!!!!

Hajhhhhahhhhahhhaha aiseee we bidada mi nakuona leoo humuu ulikuwa wapiii atii
 
Mara mia kujitongozesha kuliko kumsema mtu maneno ya uongo
halafu huyo unaenisemea nalala na kuamka nae
aaagggrr muda huo ananisimulia huo umbea wako tumepandishia miguu kwa raha zetu
tunakuchora tu na vikoment vyako hapa kujifanya kibaunsa
kumbe baunsa kinyambe ptuuuu

Ndio ujuee kupendwaaa rahaaaa achaaaa Mwanaume na akili zakee hawezii tu akapendaa hataa hakujuii hata ungemtumia picha za K yakoo atakuonaa bogaa tuu,lol usiemdhania kumbee ndiee lol
 
Mara mia kujitongozesha kuliko kumsema mtu maneno ya uongo
halafu huyo unaenisemea nalala na kuamka nae
aaagggrr muda huo ananisimulia huo umbea wako tumepandishia miguu kwa raha zetu
tunakuchora tu na vikoment vyako hapa kujifanya kibaunsa
kumbe baunsa kinyambe ptuuuu

hahahahahaha!!!!!!!!!!!!!!!! acha nicheke kama mazuri kuna mbongo fleva mmoja aliimba ubinadamu kazi! ukiwajua hawakusumbui!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom