Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,001
- 72,284
Unamaanisha we mtamu?
ngoja nikukuwadie afu nisubiri mrejesho....
Uwiiiiiiiiiiiiii hahhhhahhhha huweziiiii mi mtata kama mshubiriii ukininywaa lazima koo liwasheer
Unamaanisha we mtamu?
ngoja nikukuwadie afu nisubiri mrejesho....
Wala hata sikushtukaaa nilibyedaa nikaona ni vidampa tu maana sitishikiiii wakati nazaliwaa nilianzishiwaa kuogeshewaa maji yaliyochanganywaa na asalii sina shidaa
ila tucheke wote mie baada picha kutumwa pm zilizofuta ni mbona kimya?!!! jaman wanawake tujitambue tunajichoresha tuuu!!!!!
Hahahahhhha walaaaaa siwezi hisiiii
nijuze Dinazarde maji yaliyochanganywa na asali inakuwaje nimuogeshee kidume changu?!
mwangalie sana huyo Evelyn Salta si unajua tena toto za kisukuma nyeupeee imefungasha nyuma kamaa nn halafu inakulembulia jicho hlo hahahaaa! Hapo hata kama mwanaume alikuwa mwaminifu vp kwa mke wake lazma achepke tu... Huyu mtoto ni mkaree balaa atamaliza akaunt za watu
He he he yani chuppi na bra vinanibana hebu ngoja nkavue kwanza....
Uwiiiiiiiiiiiiii hahhhhahhhha huweziiiii mi mtata kama mshubiriii ukininywaa lazima koo liwasheer
In fact njoo uishike na yangu tafadhali...😛
Ha ha ha ningekutaja tu kama anaesemwa sio kati ya hao....
Unanisifiaaa weeee nkikuomba hela unatoka nduki...
Hapo tu umemkamulia ndimu anasakamwa hivo, ukimpaka asali si atachukuliwa?
shauri ako sitaki kuombwa ushauri
Nshaona watata zaidi yako na wanaliwa mchana kweupeee
kisha wanapewa buku mbili ya bodaboda
Nshaona watata zaidi yako na wanaliwa mchana kweupeee
kisha wanapewa buku mbili ya bodaboda
Nataka nikalitumikie kanisa....