Siwezi mlaumu huyu dada,mume hilo kosa halikuwa la kwanza...pengine mume alikuwa su mwaminifu kwa masuala ya unyumba sasa mke akaona kurudiana naye anaweza kuambukizwa maradhi bure japo moyoni kamsamehe.ajali ni ajali tu hata angemsamehe na kurudiana nae pengine angepata ajali na kufa vile vile