comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 6,455
- 11,515
Ukitaka warembo nenda kinijini huko, ndani ndani kabisa huko ndio wapo wanawake kweli sio wa hapa dar
Nguvu ya cameraKwa nini
Dhahabu zilizopo mchangani
Dar makubuhuSo kweli, hakuna Sehemu tz hapa ina watoto wakali kama dar
Dar wengi wazuri wanja,ukiwanyang’anya vipodozi utatembea mitaani huna mbavu ukiona watakavyofananaMkuu ushapiga vitu. Kalale!
Bashwee acheni kuwafundisha hawa watu uleviKwa nini
Bashwee acheni kuwafundisha hawa watuKwa nini
Sema mkuu una hoja, usikilizwe; ukimkuta kavua wigi dooooDar wengi wazuri wanja,ukiwanyang’anya vipodozi utatembea mitaani huna mbavu ukiona watakavyofanana
Wa hapo dar kwenu wanavyojua ulozi🙌Tatizo wanawake wa kijijini wachawi sana
SIo kama wakijijiWa hapo dar kwenu wanavyojua ulozi🙌
😂😂😂😂😂😂
Mjini kidogo angalauKwasasa hakuna unafuu,kurogana TU.