Wanawake wengi siku hizi ni wahuni sana

Wanawake wengi siku hizi ni wahuni sana

Mimi ndiyo maana nimeoa nje ya nchi sitaki u socilization wa kijinga, mtu unajiita a social lady ili upate tu zungu la unga na kukuhonga gari. Mademu wa kibongo ni kuwachapa tu na kuwaacha solemba hawana maana na ndiyo maana wanaf.irwa sana na kutumiwa na Nigerians huko majuu kwa tamaa zao.

Tatizo wanawake wengi wanaishi kwa kufuata mkumbo. Kuna kipindi ilikuwa kutembea na wanaigeria ndio fasheni, wadada wengi wa kibongo (hata wake za watu)lazima wawe na wanaigeria, hata akija mdada mgeni kutoka bongo watamuelekeza kwa wanaigeria. Walikuwa na msemo wao "Wanaigeria ndio habari ya mujini" . Wanakera mno.
 
Hii kweli inakera sana Bwana
 
Labda ungeanza na kudadavua maana ya kua social mkuu, nahisi unaongelea vitu viwili tofauti kabisaaaa....
 
Tamaa na tamaa na tamaa za kidunia na kingono na kutamani kusikokwisha.!
 
ndo hvo yn,mtu anajitunza weee ,af ndoa yaja kuwa kero,..si bora ufurahie ujana wako tu,u got nothng to lose,wanaume wenyewe hawa,tutaendelea kusugua goti kuomba walau upate mnaelewana na kupendana,bt habar ndo hyo,
yn me kwa kweli will stop dating othr guys nikishavaa shela,vngnevyo INSURANCE IS IMPORTANT,mtu akinichenjia aoe kwingine i have my options..

Umetisha shostito. agiza kinywaji chochote nitalipa
 
Hivi wewe unaniona na pete kidoleni kama sio uhuni ni nini,
Hawafanyi pekeo yao mkuu,Ni wazi ata wanaume wanachangia lakini Kwa mila zetu za kiafrika mwanaume ndie mtongozaji maranyingi. Nashangazwa tu na wanawake hawa Mkuu "...Mtu ameolewa anjiita Single Girl?.."
 
Dadangu,nakubaliana na wewe nilchofanya nikuzungumzia upande wako kama mwanamke nn unapaswa kufanya Kama Mke wa mtu. Kwani kusema nina mme wangu dadangu kuna ubaya gani.
Na sisi wanaume tunamakosa yetu. Je umejipange kujilinda na wanaume Wahuni wewe kama mke wa mtu?
Hivi wewe unaniona na pete kidoleni kama sio uhuni ni nini,
 
Ila mtazamo wa wanawake wa kibongo nao unatia mashaka ...hata nkisoma koment hapa..zinasikitisha..sijui ni exposure ndogo, sijui ni umaskini9hasa wa mawazo0, sijui ni kukata tamaa
 
Mtuache tulalee...if we had guarantees kwamba ukijitunza all is well for you SAWA,mbona tunge'settle,lkn wapiii....i simply wanna grow older with NO REGRETS at all,uhuni afanye mwanaume aah sawa,mwanamke sasa itakucost,ndo yale lara 1 ,anasema kunya anye kuku BATA KAHARA....the game has changed,hatuko miaka ya 70,we ishi ki miaka hyo af uone unavoliwa kweupe,
wewe ndio unaenda kutolewa mahari na yule sharobaro mtoboa masikio? kazi anayo
 
Ila mtazamo wa wanawake wa kibongo nao unatia mashaka ...hata nkisoma koment hapa..zinasikitisha..sijui ni exposure ndogo, sijui ni umaskini9hasa wa mawazo0, sijui ni kukata tamaa

Ndo ivyo kaka,Wanasema its 2014 and not 1800s sasa cjui wa leo wakoje...au wako so conscious,kweli?
Mkuu ni hatare aisee
 
Ila mtazamo wa wanawake wa kibongo nao unatia mashaka ...hata nkisoma koment hapa..zinasikitisha..sijui ni exposure ndogo, sijui ni umaskini9hasa wa mawazo0, sijui ni kukata tamaa

Comment zinasikitisha kivipi? Labda mm naomba kujua mtu akisema am social inaelewekaje? Maana kila mtu ana perception ya kwake kuhusu hio social, kipi hasa kinachokufanya uhisi ni kukata tamaa kwa wadada au umaskini wetu wa mawazo?
 
....labda nieleze jamaa alicho maanisha hapa...ni kwamba si vzr mwanamke upo na mume au mpenzi wako...lakni unakuwa na uhusiana wa karibu sana na mwanaume mwingine(eg kupigiwa simu mpk usiku-ukiulizwa just friend...si unajua nipo social ninamarafiki wengi)....au kwenye social net work (eg face book) kuna wanaume wanacoment coment maneo ya ajabu ajabu-eti kwa vile upo social unaongea na kuchart na kila mtu....That's digested version ya mshkaji alicho maanisha....na mimi nimecomment hivyo coz naona kama kunakukosa KUJITAMBUA kwa wanawake wengi wa kibongo...they luck SELF ACTULIZATION
 
....labda nieleze jamaa alicho maanisha hapa...ni kwamba si vzr mwanamke upo na mume au mpenzi wako...lakni unakuwa na uhusiana wa karibu sana na mwanaume mwingine(eg kupigiwa simu mpk usiku-ukiulizwa just friend...si unajua nipo social ninamarafiki wengi)....au kwenye social net work (eg face book) kuna wanaume wanacoment coment maneo ya ajabu ajabu-eti kwa vile upo social unaongea na kuchart na kila mtu....that's digested version ya mshkaji alicho maanisha....na mimi nimecomment hivyo coz naona kama kunakukosa kujitambua kwa wanawake wengi wa kibongo...they luck self actulization

aisee umenielewa sana mkuu tena ngoja ni edit mana wengi hawajaelewa
 
Mleta hoja nakubaliana na wewe,kwa sababu kuna wadada poa,hakuna marijali poa,hao sijawaona mitaani
umesema vema kwamba siyo wanawake wote lkn wengi wao wanafanya hivyo.
Heshima ni kitu cha bure,kama una mtu kuwa wazi kwamba una mtu,anayekufuatilia kama ataendelea basi yeye ndo anakuwa amekosa adabu.
 
Back
Top Bottom