Wanawake wengi siku hizi ni wahuni sana

Wanawake wengi siku hizi ni wahuni sana

Mtuache tulalee...if we had guarantees kwamba ukijitunza all is well for you SAWA,mbona tunge'settle,lkn wapiii....i simply wanna grow older with NO REGRETS at all,uhuni afanye mwanaume aah sawa,mwanamke sasa itakucost,ndo yale lara 1 ,anasema kunya anye kuku BATA KAHARA....the game has changed,hatuko miaka ya 70,we ishi ki miaka hyo af uone unavoliwa kweupe,

Yes!throughout our discussion anyone can refer to Girl like you.
Thank you,you fit as instance out of many.
 
Mtoa mada angesema vijana wa kizazi hiki( I.e unawajumuisha Me na Ke).Coz wanaume nao they are not better off,kwanza ndo worse.Iweje ww una mke then ukitoka unavua pete na una vimada kumi ni kidogo.Kama hujanioa am single,huna rights zozote juu yangu!Nikiona unanipotezea muda wakati kuna mtu ni potential zaidi yako kwa nini nisikuache???
 
Mtuache tulalee...if we had guarantees kwamba ukijitunza all is well for you SAWA,mbona tunge'settle,lkn wapiii....i simply wanna grow older with NO REGRETS at all,uhuni afanye mwanaume aah sawa,mwanamke sasa itakucost,ndo yale lara 1 ,anasema kunya anye kuku BATA KAHARA....the game has changed,hatuko miaka ya 70,we ishi ki miaka hyo af uone unavoliwa kweupe,

Asante badiebey!"Golden rule inasema kuwa Do unto others what you expect them to do unto you.Come on tuko 21st Century na sio 1800
 
Mimi ndiyo maana nimeoa nje ya nchi sitaki u socilization wa kijinga, mtu unajiita a social lady ili upate tu zungu la unga na kukuhonga gari. Mademu wa kibongo ni kuwachapa tu na kuwaacha solemba hawana maana na ndiyo maana wanaf.irwa sana na kutumiwa na Nigerians huko majuu kwa tamaa zao.
 
Asante badiebey!"Golden rule inasema kuwa Do unto others what you expect them to do unto you.Come on tuko 21st Century na sio 1800

ndo hvo yn,mtu anajitunza weee ,af ndoa yaja kuwa kero,..si bora ufurahie ujana wako tu,u got nothng to lose,wanaume wenyewe hawa,tutaendelea kusugua goti kuomba walau upate mnaelewana na kupendana,bt habar ndo hyo,
yn me kwa kweli will stop dating othr guys nikishavaa shela,vngnevyo INSURANCE IS IMPORTANT,mtu akinichenjia aoe kwingine i have my options..
 
Mimi ndiyo maana nimeoa nje ya nchi sitaki u socilization wa kijinga, mtu unajiita a social lady ili upate tu zungu la unga na kukuhonga gari. Mademu wa kibongo ni kuwachapa tu na kuwaacha solemba hawana maana na ndiyo maana wanaf.irwa sana na kutumiwa na Nigerians huko majuu kwa tamaa zao.

fikra za ENZI ZA MWALIMU,wake up ts 2013 dude
 
Mimi ndiyo maana nimeoa nje ya nchi sitaki u socilization wa kijinga, mtu unajiita a social lady ili upate tu zungu la unga na kukuhonga gari. Mademu wa kibongo ni kuwachapa tu na kuwaacha solemba hawana maana na ndiyo maana wanaf.irwa sana na kutumiwa na Nigerians huko majuu kwa tamaa zao.
kwahyo unavyosema mademu wakibongo ni kuwachapa tu umejumlisha na dada zako na ndg zako wa kike wewe! Wanaoish bongo na kwingineko? uwe na adabu so unatoa maneno machafu na makal! Next tym thnk before act alah!
 
mpe mpee huyo,na hawa wanaobania ndo wanachapiwaga,yn nisiwe social kwa kisa kipiiii
 
Mimi ndiyo maana nimeoa nje ya nchi sitaki u socilization wa kijinga, mtu unajiita a social lady ili upate tu zungu la unga na kukuhonga gari. Mademu wa kibongo ni kuwachapa tu na kuwaacha solemba hawana maana na ndiyo maana wanaf.irwa sana na kutumiwa na Nigerians huko majuu kwa tamaa zao.

We ukidhani unawachapa mademu wa bongo,na mkeo anachapwa vilevile,It's Called KARMA.so u t not exceptional
 
Maoni yangu ni kwamba UKITONGOZA ukakataliwa kwa miaka hii basi kaoge baharini mchana kweupe!!! hawaktai siku hizi haata...
 
NGOJA NIZUNGUMZIE MAPENZI.

Mapenzi yetu ya leo kaazi kwelikweli,Zaman ilkua rahisi sana mwanaume akimtongoza msichana ambaye ana mtu wake au anamsimamo wke au hayuko tayari basi, kutukanwa au kukataliwa waziwazi ilkua si Jambo la kushangaza.

Lakini Leo hii kila msichana Anajiita mi "niko sosho" huu ni uhuni Wallah,yani anajiita sosho eti kwamba anaongea nayeyote jambo lolote ata km mke wa mtu lakin anakuambia "am very social, i like chating,sharing ideas etc"

Msichana ana mpezi wake lakin
anajiita Single eti kisa AENDELEE KUTONGOZWA, na hapa natoa Falsafa yangu kwamba "MWANAMKE ANAJIHISA HAI NA MWENYE AFYA KAMA ANENDELEA KUTONGOZWA"...usishangae rafki wa kike wa kawaida tu akakuona huna maana kisa eti humtongozi wala humsifiisifii(lakin ana boyfriend au mmewe) huu ni uhuni MTAKATIFU.

RAFKIANGU ALINISKITIDSHA SANA ALIPONAMBIA ALKUA ANATEMBEA NA RAFKIAKE WA KIKE IKATOKEA AKAMWACHA ATANGULIE MANA YY ALKUTANA NA NDUGUYE WAKAWA WANASALIMIANA. BASI KULE MBELE AKATOKEA JAMAA AKAWA ANAMUULIZA YULE GIRL FRIEND WAKE KUA YULE JAMAA NI NAN LAKINI MSCHANA AKAMKANA JAMAA AKASEAMA YULE NI KAKAANGU..HIVI UNADHAN KWANN ALIJIBU IVYO.

Kwa kweli kupata mke mzuri wa kuoa ckuiz wanaume tunakazi sana.
NAJUA NA SISI WANAUME TUNA YETU LAKIN WANAWAKE WAMEZIDI
"if you marry good wife you will enjoy life but if you marry bad wife you will become a philosopher"..Aristotle.
MUHIMU:SIO WANAWAKE WOTE WAKO IVYO,JAPO WENGI WAO HASA UMRI KATI MIAKA 18-30

Edited:Nimejaribu kuzungumzia upande wa wanawake,Uhuni ni wazi hata wanaume wanahusika lakini hapa najaribu kutoa mtizamo kwa upande mmoja. Kimsimgi mwanamke mwenye tabia nzuri na anajitambua hawezi kujiita Single wakati na mme wake.

yani inatisha unakuta demu ana watu 5 sijui hao wote ana wahudumiaje?..
 
mwanamke mzuri..............loading........
hapa ni mjadala pia,maana shida ni kwamba kila mtu ana mtazamo tofauti kuhusu uzuri wa Mwanamke
 
sio wote,tatizo wakati mwingine tunapenda kujumuisha mambo,wapo waliotulia,kwa bahati mbaya tu walio wengi ambao tunawazungumza hapa ni makahaba
 
mwanamke mzuri..............loading........
hapa ni mjadala pia,maana shida ni kwamba kila mtu ana mtazamo tofauti kuhusu uzuri wa Mwanamke

Kweli kabisa,ila nilkua nadhamiria Tabia mkuu...mwanamke kujiita Single wakati ana mmewe sio tabia nzuri kwa kweli(huo ni mfano)
 
sio wote,tatizo wakati mwingine tunapenda kujumuisha mambo,wapo waliotulia,kwa bahati mbaya tu walio wengi ambao tunawazungumza hapa ni makahaba

Hata mimi nakubali,ndio mana pale chini ya uzi niliweka #MUHIMU
 
Kaka tusikimbie tatizo cha msingi tulitatue@jamaa- Mbishi

Mkuu Kitwe nadhani kuna haja ya Sisi wenyewe kubadilika(kuwa mifano) halafu kuwa makini ktk kuchagua mwanamke wa kuo WAPO WANOJITUNZA NA KUJIHESHIMU..Mungu atuongoze!
 
Back
Top Bottom