Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,944
- 51,080
Hao ni hadi wabakie na akina Lucas,Tlatlah,Funuku ,insinct desere na vyawa wenzao wachache ndiyo watazinduka kutoka usingiziniZamani CCM ilikuwa inategemea kundi la wanawake kama kundi lake la wapiga kura.
Lakini utafiti wangu siku za hivi karibuni nimegundua wanawake wengi hawataki kabisa kusikia habari za CCM.
Inawezekana kati ya wanawake 70 kati ya 100 wenye umri wa miaka 18 mpaka 40 hawaitaki kabisa CCM.
Maadamu Ccm wana Dola, hata hizo kura hawazitaki.Zamani CCM ilikuwa inategemea kundi la wanawake kama kundi lake la wapiga kura.
Lakini utafiti wangu siku za hivi karibuni nimegundua wanawake wengi hawataki kabisa kusikia habari za CCM.
Inawezekana kati ya wanawake 70 kati ya 100 wenye umri wa miaka 18 mpaka 40 hawaitaki kabisa CCM.
Naona mnajitekenya na kujichekesha wenyewe kama Mazuzu.Hapa nchi ilipofikishwa na hawa mbogamboga kila mwenye akili timamu hataki kuisikia kabisa CCM na ushahidi ni ile nyomi inayojitokeza kwenye mikutano ya Chadema maana wale siyo wote ni Chadema bali ni umma uliyoichoka CCM. Ni mazuzu tu kama akina Lucas Mwashambwa ndiyo wanaipenda CCM kwa matumaini ya kutupiwa makombo toka kwenye meza za mafi.
Naona mnajitekenya na kujichekesha wenyewe kama Mazuzu.
CCM ndio chama pekee kilichobeba Matumaini ya watanzania na ambacho kinaaminika ,kupendwa ,kukubalika na kuungwa mkono na watanzania wote wenye akili Timamu na wanaojitambua kutoka makundi yote
Na kazi yake ni mhudumu wa gest bubu moja huko MboziKuna huyu mwanamke anaitwa
Lucas Mwashambwa yeye bado yuko na ccm dam dam
Na wewe ni Mwanamke?Zamani CCM ilikuwa inategemea kundi la wanawake kama kundi lake la wapiga kura.
Lakini utafiti wangu siku za hivi karibuni nimegundua wanawake wengi hawataki kabisa kusikia habari za CCM.
Inawezekana kati ya wanawake 70 kati ya 100 wenye umri wa miaka 18 mpaka 40 hawaitaki kabisa CCM.
Siku zote mpumbavu uchelewa kujifunza ....na huja kujifunza kwa uchungu na maumivu na kwa hasara kubwa...ndiyo maana sasa wanawake wanaichukia ccm .Zamani CCM ilikuwa inategemea kundi la wanawake kama kundi lake la wapiga kura.
Lakini utafiti wangu siku za hivi karibuni nimegundua wanawake wengi hawataki kabisa kusikia habari za CCM.
Inawezekana kati ya wanawake 70 kati ya 100 wenye umri wa miaka 18 mpaka 40 hawaitaki kabisa CCM.
Hili swali umelijenga juu ya msingi upi?Na wewe ni Mwanamke?
Wanawake wenye akili ni 0.00001 ya wanawake wote Tanzania. Hata akina Covid1⁹ ndio hao haoZamani CCM ilikuwa inategemea kundi la wanawake kama kundi lake la wapiga kura.
Lakini utafiti wangu siku za hivi karibuni nimegundua wanawake wengi hawataki kabisa kusikia habari za CCM.
Inawezekana kati ya wanawake 70 kati ya 100 wenye umri wa miaka 18 mpaka 40 hawaitaki kabisa CCM.
Makebo yakoNaona mnajitekenya na kujichekesha wenyewe kama Mazuzu.
CCM ndio chama pekee kilichobeba Matumaini ya watanzania na ambacho kinaaminika ,kupendwa ,kukubalika na kuungwa mkono na watanzania wote wenye akili Timamu na wanaojitambua kutoka makundi yote
Uliona wataja ni walamba mav ya m.a.m...maHao ni hadi wabakie na akina Lucas,Tlatlah,Funuku ,insinct desere na vyawa wenzao wachache ndiyo watazinduka kutoka usingizini