wanawake wengi ni wanafiki katika hili....!

kinyoba

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2011
Posts
1,267
Reaction score
720
habari zenu wanajamii! Kuna hili swala la mwanamke alie katika mahusiano kutongozwa halafu anaenda kumshtakia kwa mpenzi wake! Hii inaweza ikawa ni sawa, ila ninavyojua mimi ni kwamba hapo mwanamke anakua hajakupenda ndo maana ameenda kushtaki na nia hasa ni kutaka kujionyesha kuwa yeye ni muaminifu. Akikupenda kamwe hatamueleza mumewe na itabaki kuwa ni siri yake na ataliwa uroda bila taabu yoyote. Mi navyoona ukutongozwa kaa kimya ni kawaida labda mtu akutongoze kwa kukufanyia fujo na kuwa kero.
 
habari zenu wanajamii! Kuna hili swala la mwanamke alie katika mahusiano kutongozwa halafu anaenda kumshtakia kwa mpenzi wake! Hii inaweza ikawa ni sawa, ila ninavyojua mimi ni kwamba hapo mwanamke anakua hajakupenda ndo maana ameenda kushtaki. Akikupenda kamwe hatamueleza mumewe na itabaki kuwa ni siri yake na ataliwa uroda bila taabu yoyote. Mi navyoona ukutongozwa kaa kimya ni kawaida labda mtu akutongoze kwa kukufanyia fujo na kuwa kero.

Umejuaje? ulifanya research? kwa muda gani? Je, unaweza kutufahamisha ukubwa wa sample uliyotumia katika research yako?
 
BAK bana ,no research no right to post!

Hahahahahah lol! Mzima wewe!? Mie namshukuru Mungu niko poa kabisa 🙂...Lazima atujuze hitimisho hilo amelifikiaje vinginevyo litakuwa halina mshiko wa nguvu.
 
ulikwish akupendwa nini na ukafichiwa siri na kuna mahali ambapo ulitolewa nje na siri ikabandikwa magazetini au.............................nijuavyo wanawake wengi wakitongozwa wakubali au wakatae huwa siri yao ila wale wachache ambao hawajiamini na hivyo hutafuta umaarufu wa bei poa kwa kuonyesha ya kuwa wanapiganiwa na njemba kibao.....................................................................................haya ni maono yangu hayana utafiti wa kina...............................ni vyema nikaungama hapahapa
 
me sijambo kichefuchefu tu chanisumbua, umeona eeehh kaichukulia simple tu. Me sijawah kushtaki kutongozwa ntajaza counter book. Hahahaaa
 
  • Thanks
Reactions: BAK

naunga mkono hoja 100%.
 
habari zenu wanajamii! Kuna hili swala la mwanamke alie katika mahusiano kutongozwa halafu anaenda kumshtakia kwa mpenzi wake! Hii inaweza ikawa ni sawa, ila ninavyojua mimi ni kwamba hapo mwanamke anakua hajakupenda ndo maana ameenda kushtaki. Akikupenda kamwe hatamueleza mumewe na itabaki kuwa ni siri yake na ataliwa uroda bila taabu yoyote. Mi navyoona ukutongozwa kaa kimya ni kawaida labda mtu akutongoze kwa kukufanyia fujo na kuwa kero.

Kwa sisi wanawake,mwanamke aliyekamilika
1. Kutongozwa ni kitu cha kawaida
2. Ukishakubakli kuwa ni kawaida utakuwa na uwezo wa kukabiliana na wahusika
3. Kwa kuwa unauwezo wa kukabiliana na hali husika,matangazo ya nini?
4. Ila pia ikiwa unatongozwa ovyo ovyo,jiangalie upya mwenendo wako...................
5. Inapotokea mtongozaji akawa threat (usumbufu wa mara kwa mara labda kwenye simu au kukufuata fuata physically) kwenye mahusiano yako hata baada ya kumpa misimamo yako,mi naona ni ruksa kumwambia mwenza wako.
 
Umejuaje? ulifanya research? kwa muda gani? Je, unaweza kutufahamisha ukubwa wa sample uliyotumia katika research yako?
BAK unataka research? Ok siku utakayomfuma mkeo amekunjwa kama 7 na dereva taxi ndo utapata majibu yake! Anyway nimesema wanawake wengi na sio wote. Haya mashtaka huwa yanatokea pale demu anapotaka kujionyesha kuwa yeye ni muaminifu.
 
mm sijui ,, but why everytime ladys,,,,,?
 
Na wanajua, demu akienda kumshtaki kwa mpenzi wake, mpenzi wake atakuja silaha zote za kumkabili yule aliyemletea usumbufu na msumbufu huwa anafyata mkia hapo!!
 
Na umejiuliza itakuwa vipi mumeo
Akijua ulikuwa unamficha (dirty little secret )
Kwa muda wate huo? ?
 
BAK unataka research? Ok siku utakayomfuma mkeo amekunjwa kama 7 na dereva taxi ndo utapata majibu yake! Anyway nimesema wanawake wengi na sio wote. Haya mashtaka huwa yanatokea pale demu anapotaka kujionyesha kuwa yeye ni muaminifu.
Mimi binafsi sikubaliani na mtoa mada. Kurepoti kua umetongozwa sio unafiki wala nini. Embu fikiria ukikuta message toka kwa best friend wako anamwambia mke wako: mbona ulinikataa? hata kama inaonekana mke wako alikataa lazima utamgombeza kwa kukuficha hicho.
  1. ni MUHIMU mwanamke kumwambia mume wake akitongozwa na mtu wa karibu (eg rafiki ao ndugu, boss, mfanya kazi mwenzie etc) ili Mume ajipange vizuri na atambue kua huyo mtu wa karibu hana nia nzuri kwake.
  2. Kama mke akitongozwa ina maana bado hayumo kwenye relation, lazima aseme. Na kama alikutwa anampenda huyo mtu basi tayari alikutwa anamdanganya mume wake. Sio swala la kutongozana tena hapa.
  3. Kwa watu wengine wasio wa karibu sio lazima mke kurepoti kwa mume wake, labda kama mume ameomba hivo specificaly. vingine amalize tu mwenyewe na sababu ya kukataa isiwa"nimeolewa" coz hii inasema "ningekua sijaolewa ningekubali". akatae kwa maana ya "siwezi kukupenda wewe sababu tayari nina kila kitu ninachi hitaji kutoka kwa mwanaume".
huo ni mtazamo wangu tu.
 
kwani wakati natongozwa na mume wangu nilimueleza nani? na iweje leo ni mueleze????
 
habari zenu wanajamii! Kuna hili swala la mwanamke alie katika mahusiano kutongozwa halafu anaenda kumshtakia kwa mpenzi wake! Hii inaweza ikawa ni sawa, ila ninavyojua mimi ni kwamba hapo mwanamke anakua hajakupenda ndo maana ameenda kushtaki na nia hasa ni kutaka kujionyesha kuwa yeye ni muaminifu. Akikupenda kamwe hatamueleza mumewe na itabaki kuwa ni siri yake na ataliwa uroda bila taabu yoyote. Mi navyoona ukutongozwa kaa kimya ni kawaida labda mtu akutongoze kwa kukufanyia fujo na kuwa kero.

ACHA NGONO ZEMBE MKUU! sioni sababu ya kumtongoza dem wa rafiki yako au mtu unaemjua hata km sio rafiki yako, kuwa muaminifu na huyo ulonae.
 
me sijambo kichefuchefu tu chanisumbua, umeona eeehh kaichukulia simple tu. Me sijawah kushtaki kutongozwa ntajaza counter book. Hahahaaa

Pole sana kwa kichefuchefu kitapotea tu muda si mrefu ujao. Bora ujikalie kimya maana huwezi jua reaction ya mwenzio, "Leo nimetongozwa na wanaume 12 🙂 tangu nilipotoka hapa asubuhi mpaka naingia nyumbani jioni hii." unaweza kumpa pressure bure na kupata ugonjwa wa moyo.
 
Back
Top Bottom