wanawake wengi ni wanafiki katika hili....!

wanawake wengi ni wanafiki katika hili....!

Kwa sisi wanawake,mwanamke aliyekamilika 1. Kutongozwa ni kitu cha kawaida 2. Ukishakubakli kuwa ni kawaida utakuwa na uwezo wa kukabiliana na wahusika3. Kwa kuwa unauwezo wa kukabiliana na hali husika,matangazo ya nini?4. Ila pia ikiwa unatongozwa ovyo ovyo,jiangalie upya mwenendo wako...................5. Inapotokea mtongozaji akawa threat (usumbufu wa mara kwa mara labda kwenye simu au kukufuata fuata physically) kwenye mahusiano yako hata baada ya kumpa misimamo yako,mi naona ni ruksa kumwambia mwenza wako.
Well said!
 
mtoa mada fafanua katika mazingira gani..!!
 
Pole sana kwa kichefuchefu kitapotea tu muda si mrefu ujao. Bora ujikalie kimya maana huwezi jua reaction ya mwenzio, "Leo nimetongozwa na wanaume 12 🙂 tangu nilipotoka hapa asubuhi mpaka naingia nyumbani jioni hii." unaweza kumpa pressure bure na kupata ugonjwa wa moyo.
babu kumbe wewe ni 'ke' nilikua sijajua. Hii habari najua wadada hamtakubaliana nayo, ila mazingira ninayosemea ni pale mwanamke anapotaka kujionyesha kwa mwanaume kuwa yeye ni muaminifu, au kama sio kwa mpenzi wake basi ataelezea hata kwa marafiki zake ili apate umaarufu wa kumkataa fulani tena sometimes hata kama hajatongozwa.
 
Sasa huo unaoongelea wewe ni ulimbukeni...na sidhani kama “WANAWAKE“ ni malimbukeni.
 
Wanawake tuna kazi!!!
Kila tunalofanya ni mada?
Kama sisi ni maua wanaume ni nini? Mawe?
Na watunga mada khs wanawake ni wanaume,kwani nyie hamna vitabia?
Nikitulia nadhani kuna umuhimu wa kuanzisha thread kuhusu hili...
 
hi, jamii?unfik upo bt inategemea na wewe mume mwenyewe,coz kama wewe pia sio mwaminifu kwanini mwanamke asifanye vile anataka?kumbukene kwamba mwanamume ukiwa na mambo yako yasio eleweka mwanamke atakuendea kinyume lakini kama wewe utakua mwamifu basi kilakitu kitakuwa wazi ambapo mke wako hataweza kukuendea kinyume.
 
Back
Top Bottom