Wanawake wengi ni malimbukeni wa mafanikio

Wanawake wengi ni malimbukeni wa mafanikio

Ndo maana huwa nawamega Sana ila mpira sisahau.Afu huruma sijawai ona baada ya kuwajua.
Mkuu ukiwamega kwa mpira unakuwa hujawakomesha maana unakuwa hujawaachia mimba wala ugonjwa hapo unakua umewalinda mkuu.. binti anatokaa hapo mwepesii hana wazo la mimba wala ugonjwa na kapoket money umempa hahaha.. Ila hongera kwa kujali
 
Ulimbuken unatuponza tena kwa bahati mbaya mada za nmna hii sipendi kukutana nazo.
 
Wanaume wengi ndio wakipata vijihela wanaleta nyodo,
Wanawake wachache ambao hawana akili ndio hufanya mleta mada alivyosema
 
Aisee km ulikuwepo mfano kwetu watoto wa kwanza na ambao wakubwa ni watoto wakike nawengi mzee kawasomesha wanakazi zao na miradi yao wote walipopata mafanikio wameachwa aisee wanawake wanamatatizo sana mm nikikaa nao nawaambia inamaana nyinyi heri mzini namchume madhambi na hamtaki muwe na familia zenu aisee wanawake kweli wametoka ubavuni mwetu ovyo kabisa. Ila mkuu ukitaka uenjoy tafuta tu mtoto wa kisure pesa kazikuta kwao wanakuwa sio malimbukeni sana wanachojali wao ni mapenzi ila nao wengine vichwa ngumu.
 
Mwanafunzi ukishamfundisha lazima asome zaidi ya Mwalimu wake wa msingi.
 
Kwahiyo ukimsaidia mwanamke ndio akunyenyekee? Kama hakufai achana nae...msaada wako usiwe sababu ya kulazimisha mapenzi.
 
Mkuu ukiwamega kwa mpira unakuwa hujawakomesha maana unakuwa hujawaachia mimba wala ugonjwa hapo unakua umewalinda mkuu.. binti anatokaa hapo mwepesii hana wazo la mimba wala ugonjwa na kapoket money umempa hahaha.. Ila hongera kwa kujali
Na akiwamega pekupeku anakuwa amemkomoa nani? teh teh teh
 
we sijui mamaako alikukataa maana huna zaidi la kuwaponda wanawake tu

kila siku style mpya ya kuwaponda
Yaani huyu kila topic yake lazima aponde wanawake....sijui kafanywa nini? Anahitaji saikologisti hasa wa kumuondolea hii women stress asije akatufia bureee..
 
Wengi wao hawakuwa na heshima toka zamani
Tabia yao ndo ilikuwa hivo sema umasikini uliificha tabia yao
 
Back
Top Bottom