Wanawake wengi huomba kufanyiwa upasuaji badala ya kujifungua kawaida

Hapana siwezi kuwaambia hivyo maana sijui kwa nini alipata operation kuna wengine uchungu aliupata na akateseka ila mwisho wa siku akaambulia kisu kunusuru maisha yake na ya mwanae na kuna mwingine aliupata uchungu na kisu juu na bado akakosa mtoto, huyu kumjibu hivyo ni kumuumiza maana uchungu wa labour anaujua mule ni nusu kifo either utoke mzima au utoke umefariki au mtoto mzima au amefariki au nyote wawili muende kaburini.
Ujinga Mzigo!! Wenzako wengi siku hizii huwa wanachagua kupasuliwa hata kabla ya mimba.

Ukiwaona wanalalamika uwe unawaambia wakome.
 
Mtoa mada hawaongelei kina mama wenye complications wakati wa kuzaa maana hao ni lazima njia mbadala itumike. Anaongelea wale wanaotaka upasuaji sababu ya uoga au sababu zingine zisizo na mashiko. Sasa unafikiri mimba ya kwanza ukiogopa kujifungua kawaida ya pili utaweza?

Kuzaa kunaambatana na maandalizi kiakili na kimwili, akipigwa kisu ya kwanza mimba zinazofuata itakua vigumu sana kwa akili na mwili kufanya maamuzi ya kuzaa kawaida.
 
Wanawake wengi sahivi wanagongwa nyuma ndomana wanaomba upasuaji sababu wanajua watadhalilika wakijifungua kawaida
 
Ukweli ulio mchungu na usiosemwa na wengi ni kwamba wanapendelea upasuaji kwakuwa wengi hawana marinda

Wafuasi wa nabii Tito? anyway mie kuna mdada alikuwa na mimba yake ya kwanza, yeye alichagua kuzaa kwa operation na sababu zake alisema kwanza anakwepa uchungu, pili anajihisi kuwa ana ukimwi hivyo akizaa kwa kisu basi sio rahisi kumwambukiza mtoto na mwisho akasema ni kuitunza K yake ibaki kawaida, ila pia jamaa waliokuwa wanatoka naye walikuwa wanamsifia sana X713
 
Vingine vyote ni visingizio... Mtaro na marinda ndio uhalisia
 
Kwani anayefanyiwa OP hapati uchungu!?
 
Ni kweli, wengi wao wanaopt caeserian section, muda mwingine kuavoid complications, kwenye kujifungua kuna mengi sana.
 
Mbona mnapotosha... Hakuna Dr. anamuuliza mgonjwa amtibu vipi..

Vipimo vyake ndo vinamfanya ampe tiba gani..
Mathalani huko labor hakuna mama anasuggest ajifungue vip!!? Kwanza hiyo akili unaitoa wapi na saa ngapi.. Madokta wanamcheki wanaangalia options kisu au kawaida...
 
Madhara yapo mengi sana. Sema tu nimeona uzi utakuwa mrefu sana.
Unaandika kimihemko. Kwa hali ya sasa ili kumnusuru mtoto na madhara ya kuzaliwa ni bora mama akajifungua kwa Operation ya kupanga. Nakuapia mtoto ambaye hakupitia misukosuko ya kubanwa, au kunywa maji ya uzazi, nk huwezi kumkuta ana bichwa kubwa au kuwa taahira. Sisi tulipona kwa vile tulizaliwa vijijini na wakunga wa jadi. Makabila mengine kama wamasai walikataza mjamzito kula baadhi ya vyakula ili katoto kaziwe kakubwa kakashindwa kupita katika mlango wa uzazi etc. Hivi unajua mateso ya mama wajawazito hadi mwingine alijichana na kutoa mtoto? Let’s congratulate those mother who arrange and I do repeat who arrange for Operations
 
Tatizo baadhi ya Me wenzio walivyoandika hapa wanajumuisha wanawake wote hadi wale wenye complications. Na kuna mmoja hapo juu ye anachukulia hata hizo tatizo zinazosababisha mtu afanyiwe Upasuwaji hazipaswi kuwepo. Eti kisa zamani hawakufanyiwa. Ya kweli hayo?

Tusitake kuileta zamani wakati ishapita hiyo. Na ndio sababu maisha waliyoishi hao wa zamani yako tofauti na tunayoishi sasa.

Mi naona wajikite kwenye wale wanaotaka wenyewe.
 

Boss unazungumzui u Dr wa wapi? Siku zote na mahali popote Daktari ni mshauri wa kitaalamu kwa mgonjwa/mteja wake na kumbuka mama mwenye mimba sio mgonjwa bali ni kubadilika kwa maumbile ya mwili kitu ambacho ni kawaida, kipindi chote cha kabla ya kubeba mimba na wakati wa mimba daktari hutoa ushauri unaomfaa mama mzazi mtarajiwa na ndipo hapo makubaliano ya njia ipi nzuri na salama inayokubalika kwa pande zote mbili ije kutumika siku inapofika na ndio hapa mama anaweza kusema..nataka nijifungue mtoto kwa njia ya kawaida na sitaki kabisa kusikia maumivu wala kupoteza fahamu hata kidogo, sasa hapo ndipo daktari hutekeleza kile ambacho mteja anakitaka,

Kumbuka kuzaa ni kupanga na sio kufyatua!
 
Mtoa mada mwenyewe hajielewi..
Hakuna Dr. atayemsikiliza Mama ati afanyiwe operation wakati njia yake iko sawa na hana magonjwa...
Sijui... !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…