amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,103
- 30,987
Hapana siwezi kuwaambia hivyo maana sijui kwa nini alipata operation kuna wengine uchungu aliupata na akateseka ila mwisho wa siku akaambulia kisu kunusuru maisha yake na ya mwanae na kuna mwingine aliupata uchungu na kisu juu na bado akakosa mtoto, huyu kumjibu hivyo ni kumuumiza maana uchungu wa labour anaujua mule ni nusu kifo either utoke mzima au utoke umefariki au mtoto mzima au amefariki au nyote wawili muende kaburini.
Ujinga Mzigo!! Wenzako wengi siku hizii huwa wanachagua kupasuliwa hata kabla ya mimba.
Ukiwaona wanalalamika uwe unawaambia wakome.