Sikubaliani na wewe bali nakubaliana na biology.Operation ndio njia yenye uhakika wa uzazi salama kwa dunia ya leo
Mijini humu unasikia vifo vya wazazi tena?..
Kupush yataka mtu ambae nyonga yake si lelemama..kuzaa natural na kifo ni suala la 50/50
Ukipigwa kisu mara ya kwanza mimba zitakazofuata lazima upigwe kisu tena.. tumbo litajaa makovu kama ulinisurika ajali ya ndegeHata hilo dogo silitamani kabisaaaa
Mimba ya kwanza ni muhimu kutumia njia y kawaida unless kama zitatokea complications. Ukiweza ya kwanza zingine ni kuteleza tu..Naomba Mungu nipate mtoto kwa njia ya kawaida
Dunia ya kisasa. Itafika wakati hata kubeba mimba watu watasema watumbo yao yanatanuka. Tutahamia kwenye test tube babies.
Si kweli kwamba mimba ya kwanza ukipigwa kisu basi mimba zinazofuata lazima upigwe kisu tena, inategemeana na sababu iliyopelekea ukafanyiwa operation. Kama sababu iliyopelekea ukafanyiwa CS mara ya kwanza haipo kwenye mimba ya pili unaweza kujifungua kawaida ila muhimu kuwepo hospital inayoweza kufanya operation ili ikishindakana basi ufanyiwe upasuaji harakaUkipigwa kisu mara ya kwanza mimba zitakazofuata lazima upigwe kisu tena.. tumbo litajaa makovu kama ulinisurika ajali ya ndege
Kuzaa kwa operation kunaweza kusababisha tumbo kuwa kubwa kwa sababu misuli ya tumbo inalegea ila sio wote wanakuwa hivyo sometimes inategemeana na mwili wa mtuOoh! Kwani ukizaa kwa upasuaji ndio unakuwa na tumbo kubwa au me ndio sijaelewa hapo?
Au umemaanishaje Dr
Siku hizi hawapasui kama ile mishono ya zamani. Unapasuliwa chini kabisa (bikini line) hata ukivaa chupi hauonekani. Na baada ya muda huwa unabakia alama kwa mbali sana na kuna dawa za kupaka unaisha kabisa.Hivi nasikia ukizaa kwa opereation inaacha alama hapa kwenye tumbo?
Heri nije kuzaa kwa uchungu wa kupush kuliko kubakiza alama tumboni
Yes namuona sista ...unabaki kwa mbaliSiku hizi hawapasui kama ile mishono ya zamani. Unapasuliwa chini kabisa (bikini line) hata ukivaa chupi hauonekani. Na baada ya muda huwa unabakia alama kwa mbali sana na kuna dawa za kupaka unaisha kabisa.
joanah naamini umepata ufafanuzi wa kina, hata operation ikikukuta umeambiwa alama itakuwa ni ndogo sana usipoitaka hata hiyo ndogo utapaka dawa.Siku hizi hawapasui kama ile mishono ya zamani. Unapasuliwa chini kabisa (bikini line) hata ukivaa chupi hauonekani. Na baada ya muda huwa unabakia alama kwa mbali sana na kuna dawa za kupaka unaisha kabisa.
Sio wogaHii dunia wameijaza bibi zetu kwa kupush. Acha uoga
Hadi ufiwe na mtu wako wa karibu ndo utaelewa risk za uzazi wa kawaidaDada utazaa salama asikutishe uyo mpka leo watu wanazaa kawaida pasipo kisu tena adi watoto 12 hao wa visu wanajua wanayo yafanya ndio maana awataki kuzaa kawaida.
Ushawahi kuzaa?.Mimba ya kwanza ni muhimu kutumia njia y kawaida unless kama zitatokea complications. Ukiweza ya kwanza zingine ni kuteleza tu..
Cha ajabu wanaume ndio mmekazania tuzae kawaida, mnafaidi nini wenzenu wakizaa kawaida na mnapungukiwa nini wakipata mtoto kwa C-section? Mi naona siku hizi wanaume mnashupalia sana yasowahusu.
Kama mnatuonea wivu jifungueni kwa CS na nyie