Wanawake Wengi huogopa kupoteza usichana wao kwa kuhofia siku ya kwanza ya ndoa yao na si kuwa na hofu ya Mungu

sankara25

JF-Expert Member
Aug 19, 2022
389
785
Mambo vipi

Sina uwandish mzuri ila nadhan nitakuwa nimeeleweka kwenye ili.

Sio wanawake wote wanaotunza bikra kwa sabab ya hofu ya Mungu wengi wao huogopa kupoteza usichana wao kabla ya ndoa kwa kuhofia endapo wataolewa na mtu tofaut ambae aliemtoa usichana wake.

Mwanamke hupitia wakat mgumu endapo ataolewa akiwa hana bikra ktk jamii ya kiislam kwa sabab kwa sabab wanaume hutoleshwa mahari makubwa kwa kuzani wasichana wanataka kuwaoa bado ni bikra.

Wazazi wa kike huwauliza watoto wao mara mbili mbili kama bado ni bikra kwa kuogopa aibu ya kurudishiwa mtoto wao ndio maana wanawake wanakuwa na hofu kubwa kwa sababu kuna baadhi ya wanaume hutoa talaka siku iyo iyo ikiwa atagundua msichana aliemua hana bikra

Naomba kuwasilisha nanyi mtoe mitazamo yenu.
 
Thubutuuuuuu πŸ˜‚
Tatizo humu ndani tunachukuliana poa aisee. Mali safi kabisa mpyaaa iko hapa🌝🌝🌝 and my take on this is that; kujitunza au kuikeep bikra ni kuanzia ndani. Hofu ya Mungu inakuwepo maana kama si kumuogopa Mungu then nini ilikuzuia wewe kwenda lala na mubebez nyingi.

And by the way wengne tuliamua kuwa mabikra because tuliona kutembea na watu ovyoovyo ni kuuchosha mwili na kujichakaza sa yote iyo ya nini....but lazima kahofu ka Mungu kawepo bhana....😝

#bikraambassador#
 
Mambo ya bikra bikra haya ndio yanasababisha watu wawe makambale....wanazama wanaibukia buza
Ili ni kwel kbs kuna mdada alikua yuradh uwibukie kwa mpalamge lkn c kuchez na bikra yake πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜‚
 
Hakua hofu ya Mungu lolote mbon mengin yote mnafanya isipokua kuondoa bikra t kama una hofu ya ata kumkaribia mwanaume t inakupa hofu πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…