Sawa endelea kusikia!Anyway siwezi kushangaa hapo ulipo nikisikia kwamba ni single mother kwa sababu ya imani zako potofu na kukataa kukaa chini ya himaya ya wanaume.
Siwalaumu sana wadada kupenda wanaume wenye hela, ni nature, sababu embu waza mwanaume kutoa mahari unahitaji uwe na hela, harusi unahitaji hela, kutunza ujauzito wa mchumba na uzazi hela inahitajika, mtoto atakaezaliwa asome shule nzuri, hela inahitajikaUmeelewa mada? Na unayajua maisha yangu mpaka uniitie hicho kidola ef1?
Ngoja nijipange hadi kufika saa 4 usiku nitakuwa nimesha kukalisha chini kwa makonde mazito.Sawa endelea kusikia!
Umeshindwa kujadili mada umeanza kuniletea story za vijiweni..
Kweli na si kweli..Siwalaumu sana wadada kupenda wanaume wenye hela, ni nature, sababu embu waza mwanaume kutoa mahari unahitaji uwe na hela, harusi unahitaji hela, kutunza ujauzito wa mchumba na uzazi hela inahitajika, mtoto atakaezaliwa asome shule nzuri, hela inahitajika
Mbaya ni ile kujifanya una hisia na mwanaume kumbe huna hisia nae, uko nae sababu anakupa hela Seran shibela
Huo ni ukatili kabisaSiwalaumu sana wadada kupenda wanaume wenye hela, ni nature, sababu embu waza mwanaume kutoa mahari unahitaji uwe na hela, harusi unahitaji hela, kutunza ujauzito wa mchumba na uzazi hela inahitajika, mtoto atakaezaliwa asome shule nzuri, hela inahitajika
Mbaya ni ile kujifanya una hisia na mwanaume kumbe huna hisia nae, uko nae sababu anakupa hela Seran shibela
Ten toes down waiting for you hunny bunny😊Ngoja nijipange hadi kufika saa 4 usiku nitakuwa nimesha kukalisha chini kwa makonde mazito.
Naunga mkono hoja , wengi wetu ni justification tu ya kupata vitu vizuri bila Gharama, mbona huko namtumbo ndani ndani ,wapo mabinti wala hawana mpango wa kuangalia hela?Je, wewe baba mwenye binti utafurahi siku binti yako akikuletea mchumba hana kitu kabisa.
Umasikini ni laana, basi tu wengi wetu tunatokea familia masikini, tumekulia umasikini, tunazeeka na umasikini wetu hivyo tunaona kuwa masikini ni sifa chanya.
Tatizo hawaelewi tunachojadili hapa baba, wanakazania mapenzi ya pesa ili hali tunajadili uwezo wa kukidhi mahitaji muhimu, kuna mahusiano mnaingia mnasahau kama mnapendana mnaanza kulia lia shida tu kwa watu baba mkwe ndio alipe kodi mama mkwe atoe tumizi mbali na hapo mtakula mapenzi! Ongea na hawa boys hawajui maisha wamekariri kila mwanamke anafukuzia mia mia zaoJe, wewe baba mwenye binti utafurahi siku binti yako akikuletea mchumba hana kitu kabisa.
Umasikini ni laana, basi tu wengi wetu tunatokea familia masikini, tumekulia umasikini, tunazeeka na umasikini wetu hivyo tunaona kuwa masikini ni sifa chanya.
Yote tisa ,kumi ila yangu na wewe tunaanza bila mimi kuwa na hela 😉Tatizo hawaelewi tunachojadili hapa baba, wanakazania mapenzi ya pesa ili hali tunajadili uwezo wa kukidhi mahitaji muhimu, kuna mahusoano mnaongia mnasahau kama mnapendana mnaanza kulia lia sida tu kwa watu baba mkwe ndio alipe kodi mama mkwe atoe tumizi mbali na hapo mtakula mapenzi! Ongwa na hawa boys hawajui maosha wamekariri kila mwanamke anafukuzia mia mia zao
Unanikosea sana ba mtu😒Yote tisa ,kumi ila yangu na wewe tunaanza bila mimi kuwa na hela 😉
Sio kweli mimi mke wangu nimeanzanae tuna godoro moja tu mpaka sasa tuko vizuriWanaume wakifanikiwa wanakukimbia wanatafuta warembo wa mjini sasa.. unarudi zako kuanza upya na masikini mwingine🥲
Bila kusahau raisi wa ma jobless pro max niko hapa.Na ukizingatia kwamba zaidi ya watanzania 47m ni masikini, mabinti wengi wataolewa na masikini watake wasitake. Bora wajiandae kisaikolojia tu.
Kama ni kijana mwenye nidhamu, mwenye uelekeo haina shida.Je, wewe baba mwenye binti utafurahi siku binti yako akikuletea mchumba hana kitu kabisa.
Umasikini ni laana, basi tu wengi wetu tunatokea familia masikini, tumekulia umasikini, tunazeeka na umasikini wetu hivyo tunaona kuwa masikini ni sifa chanya.
Hongera ila mwanaume mwenzio huku hatukufika popote..Sio kweli mimi mke wangu nimeanzanae tuna godoro moja tu mpaka sasa tuko vizuri
Fafanua jibu lako, halafu ujue kitakwimu wadada wenye mwonekano mzuri ni wengi kuliko wanaume wenye hela.Kweli na si kweli..