wanawake wengi hapa mjini hatufai

wanawake wengi hapa mjini hatufai

tuna tabia chafu,midomo michafu,mawazo machafu kama huamini tembelea mablog yetu ya wadada wa mjini...sinta au uturn au blog yoyote uone tunavomwaga macomments ya kimatusi.hivi tutaleaje watoto wamama tumekosa adabu hivi?tupo tu kama vichaa tuliotoroka wodini.
asilimia kubwa tunaliwa tigo.
tunatembea na wadogo zetu,baba zetu na hata baba zetu ilimuradi tupate tu pesa
tubadilikeni

:shock:.......
 
......from horse's mouth...............
 
We angalia hata yule dada mkuu wa mjengoni alivyo na vijembe...wanawake sio siri mnaendekeza sana tabia za kuku mwenye vifaranga...muda wote huwa mwapenda kujitutumua...juzi kati tu hapa kulikuwa na thread kaianzisha mdada mmoja humo ndani ilikuwa sijui ni mashindano ya kuchonga ngenga...yaani full mipasho

Wewe mwenyewe posts zako za mipasho IMO nawe ni mdada?
Msome Mwali na FP kama utasoma objectively utaona points zao.
 
Last edited by a moderator:
Ndege wanaofanana wanaruka pamoja. Usitujumuishe wote huko unakotembelea wewe. Binafsi sitembeleagi hizo websites manake sijifananishi nao. Jibadilishe ili uone wanawake wengineo mjini wako busy na nini.
tuna tabia chafu,midomo michafu,mawazo machafu kama huamini tembelea mablog yetu ya wadada wa mjini...sinta au uturn au blog yoyote uone tunavomwaga macomments ya kimatusi.hivi tutaleaje watoto wamama tumekosa adabu hivi?tupo tu kama vichaa tuliotoroka wodini.
asilimia kubwa tunaliwa tigo.
tunatembea na wadogo zetu,baba zetu na hata baba zetu ilimuradi tupate tu pesa
tubadilikeni
 
Unidai reputation yako dadangu.
Hao kina sijui mangi mi naishia kuwasoma humu na fb wakilalamikiwa na kusifiwa. Kuna wanaojiita team nao wanafanya vibweka kwa niaba ya wenye vibweka vyao. Kazi haswaaa!
ma jery kwa huu moshi unaofuka hapa ukipewa njiti kidogo nawe hukawii kulimwaga. Huu ujumbe ungefaa sana kama ungeupeleka kule waliko walengwa (Au umehakikisha kuwa hata humu wako?)
 
Last edited by a moderator:
U don't know the deep down of me...tembelea majukwaa ya watu weledi uone posts zangu...watu wachache kama snowhite ndio wanaweza wakanielewa!!
Nakujua kutokana na posts zako, haya hayo majukwaa ya watu weledi ndio yapi???? Na yaso na weledi ndio huku MMU ambako mimi na wewe twashinda?
 
Last edited by a moderator:
Ina maana hujui jinsia yangu au umeamua tu kufanya makusudi???

Wewe si umesema tabia za mipasho ni za wadada ukatoa mifano kidogo iliyosaidia kuja na conclusion yako. Nami nikapoint out tabia zako za mipasho na mishushuo humu MMU specifically, maana jukwaa lako lingine Chit chat huwa napita tu nikiwa tagged au mentioned so siwezi semea hulk; ndio maana nikauliza kwa tabia hiyo ambayo ni 'specifically' kwa wadada ina maana nawe ni mdada?
 
Hahahaha....dada Kaunga posts zangu nyingi waziona hapa MMU tu labda na CC na ndio maana nakueleza kuwa kupitia kwazo bado ni ngumu kunijua vile nilivyo...

Jambo la kwanza sina mtindo mmoja wa uandishi kiasi uweze kunitambua mimi ni mtu wa namna gani...

Ni dhahiri kabisa huku MMU kumekosa weledi tofauti kabisa na dhamira ya Jukwaa husika....kuna watu wachache kweli huwa wanakuja na mada zenye kuonesha wapo makini lakini...

Lakini asilimia kubwa ni watu wenye multiple ID's na wengine ukifuatilia trend ya threads zao ni uongo uongo mtindo mmoja...mwezi huu utakuta kaandika haya, mwezi ujao kaandika mengine kabisa yasiyooana na yale ya mwanzo...hapa hakuna umakini.

Hata hivyo wewe ni mmoja kati ya waungwana ambao hupendezwa na namna zenu za kufikiri na hata kutoa ushauri...

Nakujua kutokana na posts zako, haya hayo majukwaa ya watu weledi ndio yapi???? Na yaso na weledi ndio huku MMU ambako mimi na wewe twashinda?

Jamani kwani hii thread inaongelea jinsia gani? Nitaanzia wapi kutoka nje ya mada na kutoa mifano iso linganifu.

Wewe si umesema tabia za mipasho ni za wadada ukatoa mifano kidogo iliyosaidia kuja na conclusion yako

Najua watambua aina ya utupu nilionao, hivyo haya maelezo bado hayana tija...

ndio maana nikauliza kwa tabia hiyo ambayo ni 'specifically' kwa wadada ina maana nawe ni mdada?
 
Siasa unapatikana mara chache, hasa kwenye posts za matukio. Great thinker sijawahi kukusoma. Jamii intelligence sikumbuki kukusoma, Elimu mara chache, JF chef nakuonaona. Dini siingii wala jukwaa la wakubwa hivyo siwezi sema. JF doctor unahudhuria vya kutosha. Kifupi mimi natembelea majukwaa almost yote ingawa sichangii mengi as you said sina weledi wa kutosha na wala sijitutumui.
Haya naweza kuwa wrong, lkn; unapenda sana kukubalika ( kukubaliwa) na hiyo nimefikia conclusion kwa kuwa unatumia nguvu nyingi sana kujieleza na mara nyingine kujifananisha na watu ambao ni sort of mashuhuri hapa jamvini.
Pili, unapenda sana kujionesha unajua na wengine hawajui kwa kuwashushua au kuuliza hanging questions ambazo muuliza swali ajione alichopost ni pumba.
Tatu unapenda sana support ya watu, nafikiri ili kujihakikishia kuwa ulichosema kinakubalika.

Anyway, as l said l might be wrong lkn huo ndio picha niliyonayo about you.
Kuhusu utupu, how on earth can l know? JF huo yenye fake identity.
BTW. Weledi, MMU kuna weledi, na siasa na hata intelligence sio wachangiaji wote ni weledi, wengine ni washabiki na wengine tunaenda kujifunza kwa kuwasoma wengine.
Hahahaha....dada Kaunga posts zangu nyingi waziona hapa MMU tu labda na CC na ndio maana nakueleza kuwa kupitia kwazo bado ni ngumu kunijua vile nilivyo...

Jambo la kwanza sina mtindo mmoja wa uandishi kiasi uweze kunitambua mimi ni mtu wa namna gani...

Ni dhahiri kabisa huku MMU kumekosa weledi tofauti kabisa na dhamira ya Jukwaa husika....kuna watu wachache kweli huwa wanakuja na mada zenye kuonesha wapo makini lakini...

Lakini asilimia kubwa ni watu wenye multiple ID's na wengine ukifuatilia trend ya threads zao ni uongo uongo mtindo mmoja...mwezi huu utakuta kaandika haya, mwezi ujao kaandika mengine kabisa yasiyooana na yale ya mwanzo...hapa hakuna umakini.

Hata hivyo wewe ni mmoja kati ya waungwana ambao hupendezwa na namna zenu za kufikiri na hata kutoa ushauri...

Jamani kwani hii thread inaongelea jinsia gani? Nitaanzia wapi kutoka nje ya mada na kutoa mifano iso linganifu.

Najua watambua aina ya utupu nilionao, hivyo haya maelezo bado hayana tija...
 
tuna tabia chafu,midomo michafu,mawazo machafu kama huamini tembelea mablog yetu ya wadada wa mjini...sinta au uturn au blog yoyote uone tunavomwaga macomments ya kimatusi.hivi tutaleaje watoto wamama tumekosa adabu hivi?tupo tu kama vichaa tuliotoroka wodini.
asilimia kubwa tunaliwa tigo.
tunatembea na wadogo zetu,baba zetu na hata baba zetu ilimuradi tupate tu pesa
tubadilikeni

matumaini yangu kua hujui kuwa zaidi ya asilimia 80 ya watz wapo vijijini na asilimia kubwa ya watu tz ni wanawake my take hata kwenye hiyo sailimia 80 wengi wao ni wanawake, sasa unavyosema wengi wao wanaliwa au kutembelea blog za wadada wa mjini ni ulongo, pili angalia hao wadada wa mjini wenye blog wapo vip je kichwani kunachaji? na hao wachache wanaotembelea wapoje wengi ni machangudoa, so usitutukanie mama zetu na dada zetu waliopo mjini.
 
Haya naweza kuwa wrong, lkn; unapenda sana kukubalika ( kukubaliwa)
Hapa kwa kweli nimeshindwa kukuelewa...jambo lipi nililofanya lililokushawishi kuandika haya kuwa napenda sana kukubalika wakati asilimia kubwa ya watu humu siwafahamu na wala hawanifahamu.
Kama unaona nakubalika ni watu wenyewe wamechagua kunikubali maana sijawahi kuweka kampeni jukwaa lolote kutangaza jina langu.

hivyo nimefikia conclusion kwa kuwa unatumia nguvu nyingi sana kujieleza na mara nyingine kujifananisha na watu ambao ni sort of mashuhuri hapa jamvini.

Hizo nguvu nyingi ndio aina gani ya nguvu wakati kila kitu hapa kinafanyika hadharani kwa msaada wa dadavuti na mtandao wa intaneti.
JF ni jukwaa linalowapa watu fursa ya kueleza na kujipambanua kwa uwezo wa fikra zao...mambo mengi niandikayo hapa haswa yale yanayohitaji UELEWA, huwa natumia akili yangu ikichagizwa na ama tafiti za watu wengine au maandiko ya majarida mengine...
Pili sijawahi kujifananisha na mtu yoyote hapa jamvini, i remain to be watu8...kama una ushahidi uweke hapa.

Pili, unapenda sana kujionesha unajua na wengine hawajui kwa kuwashushua au kuuliza hanging questions ambazo muuliza swali ajione alichopost ni pumba.

Kuna mithali moja ya Kichina huwa yasema, "Yule asiyejua basi na asimpinge au asimvunje nguvu yule ajuaye".
Suala la kujua huwa halina namna ya kusema unajionesha, kama mtu anajua huyo anajua tu!
Kuuliza swali ambalo wewe umetabanaisha kama "hanging questions" ni mtindo ambao hata waalimu huutumia ili kupima uelewa wa mtu hatimaye kuoanisha mawazo ya namna ya kudeal na mtu huyo.
Hata madaktari huwa wanauliza maswali yenye kudadisi na wakati ho huo kutoa mwangaza kwa muulizwaji...
Hivyo sitaacha kuuliza maswali "hanging questions" pale ninapohitaji kufanya hivyo...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom