wanawake wengi hapa mjini hatufai

wanawake wengi hapa mjini hatufai

Does it occur to you that kuna wanawake mjini ambao hawatembelei hizo blog unakoonea huo uchafu?
Hizo blog ni za nini? Yaani wanaongelea nini hasa? Ni za siasa? Usanii? Ni za harakati? Au za udaku na umbea?
Huwezi kwenda at a waste dump site and say they are representative, and expect to find jewels there.
DIsclaimer: I have never been to those blogs (for my credit) and so sijui kama ni chafu au safi. #JustSaying
 
tuna tabia chafu,midomo michafu,mawazo machafu kama huamini tembelea mablog yetu ya wadada wa mjini...sinta au uturn au blog yoyote uone tunavomwaga macomments ya kimatusi.hivi tutaleaje watoto wamama tumekosa adabu hivi?tupo tu kama vichaa tuliotoroka wodini.
asilimia kubwa tunaliwa tigo.
tunatembea na wadogo zetu,baba zetu na hata baba zetu ilimuradi tupate tu pesa
tubadilikeni

Duh! maneno makali hayo! co wote lkn jaman! wengine tupo tofauti!
 
Ya ngoswe umwachie ngoswe jichunge wewe usitoe matusi wengine waache wayatoe ni mojawapo ya starehe zao....kuna tatizo????
 
Does it occur to you that kuna wanawake mjini ambao hawatembelei hizo blog unakoonea huo uchafu?
Hizo blog ni za nini? Yaani wanaongelea nini hasa? Ni za siasa? Usanii? Ni za harakati? Au za udaku na umbea?
Huwezi kwenda at a waste dump site and say they are representative, and expect to find jewels there.
DIsclaimer: I have never been to those blogs (for my credit) and so sijui kama ni chafu au safi. #JustSaying
bora usiende my dear.ishia hapo hapo
 
bora usiende my dear.ishia hapo hapo
Na wengi hawaendi, trust me. So kusema wanawake wengi hawana adabu sababu wachache wali tukana kule (say a 100 followers)is unfair. kuna ambao walienda na hawakutukana. Kuna ambao hawakwenda huko kabsa. wengi hata internet hawana, tuanzie hapo.
Ukienda bar utakutana na malaya na watapigana. But not all malaya watapigana, na not all girls in the bar are malaya, na not all the girls in town wanaenda bar. At the end of the day huwezi sema wanawake wa mjini wanapigana bar na ni malaya.
 
Hapo kwnye mawazo tu...ni kweli mademu wa kibongo mabadilike kifikra...jinsi mnavyo waza..especilay maisha...mbadilike sna..
 
inafurahisha sana kuona wanawake woooooote wanafanana na wewe kitabia......
 
sio wa huku
asante kwa kututetea,
ukweli sina hata tabia moja ya hayo uliyosema.
Zaidi ya JF na FB hakuna sehemu nyingine natoa comments....
matusi siyawezi......
zaidi ya mume wangu sina mbaba wala mdogo ninayetembea naye....
tigo? mmmhh! hiyo siifagilii kabisaaaa....
najua kuna wengi tu humu wapo kama mimi.
hao wenye hizo tabia ulizozisema naamini wanaweza kubadilika, tuwaombee tu ili watoto wetu pate malezi bora, maana mama ndo kila kitu
 
We angalia hata yule dada mkuu wa mjengoni alivyo na vijembe...wanawake sio siri mnaendekeza sana tabia za kuku mwenye vifaranga...muda wote huwa mwapenda kujitutumua...juzi kati tu hapa kulikuwa na thread kaianzisha mdada mmoja humo ndani ilikuwa sijui ni mashindano ya kuchonga ngenga...yaani full mipasho
 
umehitahidi kweli kujitetea..... haya tuma salam kwa watu watatu!!!
 
umehitahidi kweli kujitetea..... haya tuma salam kwa watu watatu!!!
siyo kujitetea, ukiangalia ni kwamba nilikuwa najibu kila hoja yake.
Jaribu kuangalia kama kuna nilichokiacha
 
We angalia hata yule dada mkuu wa mjengoni alivyo na vijembe...wanawake sio siri mnaendekeza sana tabia za kuku mwenye vifaranga...muda wote huwa mwapenda kujitutumua...juzi kati tu hapa kulikuwa na thread kaianzisha mdada mmoja humo ndani ilikuwa sijui ni mashindano ya kuchonga ngenga...yaani full mipasho
hiyo ndo nini mtani? nipo serious.....
 
tuna tabia chafu,midomo michafu,mawazo machafu kama huamini tembelea mablog yetu ya wadada wa mjini...sinta au uturn au blog yoyote uone tunavomwaga macomments ya kimatusi.hivi tutaleaje watoto wamama tumekosa adabu hivi?tupo tu kama vichaa tuliotoroka wodini.
asilimia kubwa tunaliwa tigo.
tunatembea na wadogo zetu,baba zetu na hata baba zetu ilimuradi tupate tu pesa
tubadilikeni

wa humu kwa kujidai watakatifu/malaika, wakija hapa kwa asilimia kubwa watakushambulia
ngoja tuwasubiri
 
La kuliwa tigo sijui ila haya ya kutukanana nimeyaona sana tu. Wanawake hata aibu hamna, mna familia zenu, mumekosa kazi ya kufanya hadi mnatukanana kwenye makundi facebook, blogini na kwingineko?ndio maana bwana zenu wanaenda nje ya ndoa. Kazi kubwa mnachunguzana nani ana nini, anavaa nini, ameolewa na nani, anafanya shuhuli gani mkijua muanze kuchafua watu vizuri. MKOME TENA MKOME MKOMAE.

Nilishawaza kama mleta mada alivyowaza na kusononeka sana.....kila mtu anajitia wa mjini huko mitandaoni, kila mtu anajitia kuwafahamu sana wengine...hivi hamkui tu? au ndio mlipata degree za chupi na hivyo elimu zenu hazikuweza kuwabadilisha? hata kukaa karibu na wasomi kule madarasani hakukuwabadilisha kabisa?Kwa hali hii Tanzania haitakaa iendelee kama wamama watarajiwa ndio wenye tabia hizi.
 
  • Thanks
Reactions: awp

Similar Discussions

Back
Top Bottom