Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,352
- 111,633
Jukwaa linaruhusu hivyo na kwa mantiki hiyo nami natumia fursa hiyo kwa mujibu wa GUI inayopatikana hapa.Tatu unapenda sana support ya watu, nafikiri ili kujihakikishia kuwa ulichosema kinakubalika.
Usiniambie wewe hujawahi ku-mention, quote yoyote hapa jamvini...
Hao watu unaosema nahitaji support yao ni kwa vile ni marafiki zangu na nifanyavyo hivyo ni pale tu ninapohitaji nao kuona kinachoendelea...bahati mbaya au nzuri hakuna aliyewahi kulalamika.
Anyway, as l said l might be wrong lkn huo ndio picha niliyonayo about you.
Siwezi kukuaminisha zaidi ya hivyo unavyoamini...hiyo picha uliyonayo kunihusu, wewe endelea tu kubaki nayo.
Kwa wanaonifahamu nje na ndani ya JF nitaendelea ku-mingle, kucheka, kupigana vijembe, kufanya utani na zaidi ya yote kuendeleza URAFIKI.
Kuhusu utupu, how on earth can l know? JF huo yenye fake identity.
Haya kwa kukusaidia...Mimi ni mwanaume, wapo wengi tu humu ndani wanaonifahamu nje ya JFwanaweza kukuthibitishia hilo...hivyo hifadhi hili katika kumbukumbu zako kwa matumizi ya baadaye.