kimbunga jnr
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 260
- 59
Ila kweli wanawake wazur presha tupu. Hawajitumi we mwenyewe unakosa raha
hahahaha ndo unajipaisha mwenyewe afu tunasubiri mrejesho ujue
Heeeee makubwa kila kona wanawake ivi waga mnakosa maada za kuweka adi mnatuandama kiasi ichi
Picha yangu! Kwani we huwajui wazuri?
Heeeee makubwa kila kona wanawake ivi waga mnakosa maada za kuweka adi mnatuandama kiasi ichi
ukiona hvyo ujue mda mwingi wanawafikiria nyie.
Chezea kiburudisho cha mwili na roho ww
Mwanamke ndo ua la nyumba bila yeye nyumba haijakamilika
Hahaaaa kwakwel maana tumeandamwa vibayaa
Hebu wanaume watoe experience zao. Maana kiukweli ya kwangu hasa kwa wenye sura na shepu ni mbaya behind the doors. Hakuna kujituma, yani wavivu sio wavivu, wategeaji sio wategeaji... yani sijapata kuenjoy nao.
Kabla sijakata tamaa nao hebu mlio na uzoefu nao mtoe experience zenu...
Hata kei hawajui kuosha zinanuka shombo
Heeeee makubwa kila kona wanawake ivi waga mnakosa maada za kuweka adi mnatuandama kiasi ichi
ladies wote wa jf mmu itabid mu upload pcha zenu
mi mzuri! na sina tatizo kitandani, lol
Heheeeeeee ivi mchumba ulipata
Mhh hapo hapana
Tumboo inaelekea we mzuri
Aaaaaaaa ndio.mie mzurii nialike kwako uone kama cjavunja kitanda chakoo na ukakimbia chumban kisa mauno ya tumboo