Junior. Cux
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 5,319
- 3,798
Hebu wanaume watoe experience zao. Maana kiukweli ya kwangu hasa kwa wenye sura na shepu ni mbaya behind the doors. Hakuna kujituma, yani wavivu sio wavivu, wategeaji sio wategeaji... yani sijapata kuenjoy nao.
Kabla sijakata tamaa nao hebu mlio na uzoefu nao mtoe experience zenu...
ni kweli ni mizigo.... yani hamna unacho enjoy, huyo ni wa kuuzia tu mtaani ila bed tafuta mwingne