Wanawake wazuri ni vimeo chumbani?

Wanawake wazuri ni vimeo chumbani?

Si kweli, mimi mzuri kama malaila, lakini shemeji ako mpaka ananena kwa lugha, huwa nasikia aaaishandalalalaa makandalalalaaa malaika mtamu sana.

Hii post yako ingefaa sana uianzishie sredi kule jukwaa la biashara.
 
Ni kweli kwa asilimia 80 hawako vizuri kwa six, washaniboa sana sa hv nadili na wa sura ngumu tuu unaongea hadi kiluga. Mbutanaaa!!! Ngadhodwaee.
 
Si kweli, mimi mzuri kama malaila, lakini shemeji ako mpaka ananena kwa lugha, huwa nasikia aaaishandalalalaa makandalalalaaa malaika mtamu sana.

duh ni shida hiyo lugha gan tena au ndo huo utamu wenyewe
 
Hebu wanaume watoe experience zao. Maana kiukweli ya kwangu hasa kwa wenye sura na shepu ni mbaya behind the doors. Hakuna kujituma, yani wavivu sio wavivu, wategeaji sio wategeaji... yani sijapata kuenjoy nao.
Kabla sijakata tamaa nao hebu mlio na uzoefu nao mtoe experience zenu...

Naomba kukuuliza. Kwani wanawake wazuri wakoje? Mi kwangu neno 'uzuri' ni relative.
 
Sex sio vita jaman... Me nikiwa na kula binti mzuri.. Huwa nikimtazamaga tu wakati nanyenga.. Najisikia raha sanaaa.. Haitaji yeye atumie nguvu nyingii saaaana.. Unampiga mashine mtoto unakuta anarembua macho yake mazuri yaani inatosha kabisaaaaa. Wanawake wazuri wanafunga kwa kisigino hawaitaji kutumia nguvu kama wanawake wabayaa. Kama ww mwanaume kamili na ulishawahi kupiga mtoto mzuri utakubaliana na mimi.. Awe mzuri naturally sio hao wakujipodoa podoa.. Nyewele zake zikivurugika tu wakati wa mechi unamuona ubaya wake hata mechi haijaisha..
 
Weka picha tuone huo uzuri

ImageUploadedByJamiiForums1406307934.595700.jpg

Bila picha hatutaelewana kabisa nyie watanganyika
 
mi sio mzuri lakini NINATEGEA SANA KITANDANI,NA NI MVIVU,KIUNO SIKATI WALA SIBADILI STAILI MPAKA UNIGEUZE PUUH
 
Back
Top Bottom