Malaika AD
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 496
- 316
Heheeeeeee ivi mchumba ulipata
Tena unambie kama ulipata mbabu ili niweke bandiko kwa id mpya, nijipatie mchepuko mie.
Heheeeeeee ivi mchumba ulipata
Hebu wanaume watoe experience zao. Maana kiukweli ya kwangu hasa kwa wenye sura na shepu ni mbaya behind the doors. Hakuna kujituma, yani wavivu sio wavivu, wategeaji sio wategeaji... yani sijapata kuenjoy nao.
Kabla sijakata tamaa nao hebu mlio na uzoefu nao mtoe experience zenu...