Wanawake wawili wazuri kuliko wote duniani

Wanawake wawili wazuri kuliko wote duniani

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,037
Reaction score
34,741
[h=3]WANAWAKE WAWILI WAZURI KULIKO WOTE DUNIANI[/h]




fat8.jpg

fat5.jpg
fat6.jpg

fat7.jpg

fat1.jpg
fat2.jpg
fat3.jpg
fat4.jpg




fatima1.jpg

fatima2.jpg

Fathima Kulsum Zohar Godabari who was once a royal Princess is now an official Queen in Saudi Arabia.
She was recently photographed without niqab covering her face and the pictures were published on the internet, exposing her beautiful facial features to the world for the first time.
Since the release of the pictures, many have argued her to be the most beautiful woman on earth.


















 
Nimeipenda hii, lakini kumbuka kuwa hakuna mwanamke mzuri Duniani kuliko Sarah, Mke wa nabii Ibrahim. Na hayupo mwanamke aliopewa daraja la juu kuliko Mariam, mama yake Issa (Yesu)
 
kuna ka wimbo ka zilipendwa kana maneno haya 'uzuri wa mwanamke sio urembo ni tabia ee!!' uje kuta ni wazuri kwa sura, ukifika kwenye maana ya mwanamke inakuwa tabu.
 
Chooni wanaenda? Au wakati wa period wanatoa asali?

Hata akina wema sepetu alikua eti ni mturi kuliko wote tz, na akawakilisha taifa kwa kubeba bendera kabisa.

Afu hivyo vidoti karibu na mdomo siku izi ni fashion? make nshaona maduu wakiviweka.
 
Back
Top Bottom