Wanawake wawili wazuri kuliko wote duniani

Wanawake wawili wazuri kuliko wote duniani

siamin katika hili kila mtu ana uzuri wake

sura yake nzuri sawa je chini mbona hujatuonyesha?
weupe tu ndo huwa wazuri katika hii dunia, hii dunia aaaaghr?
mnatufanya tutumie mkorongo kwani kila mwanamke mrembo ni mweupe
naomba majibu ya kuridhisha mleta mada zingatia sana hapo kwenye nyekundu

mwisho:uzuri si shani bora tabia
 
Uzuri ni uzuri na hauwezi ukapitwa na tabia
 
Wangeondoa hizo make-ups na false eyelashes sasa!
Lakini hata hivo vijisura vizuri mashaallaah! Si haba!

Ngoja nijiangalie kiooni namie........(Siri yangu)
 
Nimeipenda hii, lakini kumbuka kuwa hakuna mwanamke mzuri Duniani kuliko Sarah, Mke wa nabii Ibrahim. Na hayupo mwanamke aliopewa daraja la juu kuliko Mariam, mama yake Issa (Yesu)

Hapa wanaongelewa walio hai.
 
Dah JF bwana
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1373716449386.jpg
    uploadfromtaptalk1373716449386.jpg
    35.9 KB · Views: 154
kwa uzuri kwa kweli they are beautiful ila not sure kama ni the most beautiful in the world but they are beautiful
 
Hebu wapigwe picha waamkapo asubuhi au kabla hawajaenda saloon kisha muanze kuelezea uzuri wao vinginevyo hawana tofauti na wa Maji Matitu-Mbagala, Uyui Tabora, Malampaka-Shinyanga, Matombo-Morogoro,Nyamanoro-Mwanza' Barabara ya 14 Tanga na Nyamongo-Musoma.
 
Back
Top Bottom