Wanawake wasomi wana changamoto gani kwenye ndoa?

1..mwanamke msomi yeye ni mjuaji
2.. Kupenda kusikilizwa yeye badala ya mumewe.
3.. Unapomkataza baadhi ya vitu hujiona kama unamnyima haki ..
4..kitu kidogo tu utasikia of course,, actually,, serious,, not fair,,
Mimi akishaanza hivyo ananivuruga sana..kwa sisi tusiojuwa English.
Hahahaha nenda kwa Rasi Simba
 
Sio wote bwana. Wengine mbona wako poa.... Ni msomi, mzuri, mpole, mtaratibu, anaheshimu mume. Ni wewe tu uende nae taratibu na umuweke kwenye mstari mzuri.
Najua sio wote, ila wengi hawapo kama ulivyoelezea kwa maoni ya wengi humu
 
Huyo ni miongoni mwa wanawake wanaoamini kwamba ndoa ni manyanyaso
Mbona unaongea vitu visivyo na mantiki? Mtu yeyote akiwa independent hatawaliki...Katika maisha iko hivyo,lazima kuwe na hali flani ya utegemezi. Ili mtu awe submissive lazima awe na utegemezi wa aina flani.

Thats nature ingawa in very rare cases kuna wanawake ambao wako real. Anaweza akawa ndio bread winner ila still akawa submissive.
 
Nina uzoefu wa kuoa wake wawili waliokuwa na masters halafu walikuwa corporate ladies(tulisha achana),
  • kila kitu wanataka usawa
  • Hawafui nguo za mme---ukimwambia nifulie hata boxer na yeye atakwambia umfulie chupi zake
  • Hawana muda wa kupika , wanasema kazi za ofisini zinawachosha
  • Kutoa papuchi ni mpaka watake wao
  • Kazi zote za nyumbani anafanya house girl hata kutandika kitanda
  • Wakiwa nyumbani muda wote kwenye simu au TV
  • Itabidi ujiandae kuwadunda mara kwa mara au uwapotezee au ukubali kuwa fala
NB: Kama ni msomi halafu anahela kukuzidi au mnalingana , ule msemo wa tuishi nao kwa akili hauna mashiko unless ukubali kuwa fala tu
Huyo mmoja nilimdundaga mpaka nikapata kesi

Kwa kifupi 95% hawaoleki
Asante mkuu. Pole pia
Nadhani huu waweza kuwa mchango wa kwanza ya mtu alieishi nao hao viumbe. Japo wengi wamesema hivyo kama wewe ila uzoefu binafsi umebeba nguvu kubwa. Vipi baada ya kuachana nao ulioa level gani na hali ikoje sasa?
 
Wasalaam wanajukwaa hili pendwa.

Niende moja kwa moja kwenye swali, naomba kwa wazoefu ambao mmeoa wanawake wasomi kuanzia shahada ya kwanza (Bachelor's degree) kuendelea, wana changamoto gani hasa kulinganisha na hawa wenye elimu chini ya hapo kwenye ndoa?
Tabia ya mtu haipimwi kwa kupitia kiwango chake cha elimu au uwezo wa kifedha, unaweza ukaoa darasa la nne na akakusumbua mpaka ukaita maji mma

Kuna ambao wameoa wanawake mpaka wana PhD lakini when it comes to marriage mwanamke anatimiza wajibu wake kama mama na kama mke

Kuna ambae ameoa darasa la saba lakini mume anaponyanyua mguu mke nae ananyanyua mguu kuzurura au kukaa vibarazani mpaka jioni, hatimizi majukumu yake pamoja na kwamba hana shughuli inayombana

tabia ya mtu inatokana na malezi ambayo mtu ameyapata, ikiwa ni pamoja na aina ya jamii iliyomzunguka,makundi anayoambatana nayo pamoja na mafundisho aliyopewa na wazazi na yale maisha ambayo ameyaona kwa wazazi wake ambayo yanaweza yakamjenga negative or positive

Kwa kifupi, kama unaoa mke mwenye degree tatu au mbili au hata moja, ujuzi wake na proffesion yake ataitumia ofisini au kwenye majukumu yake ya kikazi,

anapokuja kwenye familia basi aweke kila kitu pembeni atambue nafasi yake kama mke na kama mlezi wa familia
Nimeona wengi humu wanalalamika, kwamba wanawake wasomi hawafai wengi hawatimizi majukumu yao, mimi nadhani kabla hamjaoa mjipe muda wa kumjua huyo unaemtarajia kumuoa, la sivyo mtabaki kulalamika tu wasomi hawafai

Sikatai kwamba wengi wanakua na hizo tabia lakini na nyie wanaume badilikeni, mke unakutana nae leo, wiki ijayo unatangaza ndoa,hujajipa.muda wa kujua background ya familia aliyotokea, historoa yake, jamii aliyokulia, mkifika ndani kumbe mwenzio hata chupi hajui kufua mnakuja hapa mnaweka conclusion kwamba wasomi hawafai, kumbe maskini wewe tu umekutana na huyo mmoja asiejitambua ukakurupuka ukaoa

All in all, katika maisha kuna makubaliano, nadhani hivi ni vitu vya msingi ambavyo wawili mnatakiwa kukubaliana prior to marriage decision
Namna ya kutunza familia na vile ambavyo mngependa kuwalea watoto wenu
Mgawanyo wa majukumu kwenye familia
Miiko ambayo ni lazima mke na mume muizingatie mnapoanza maisha, pamoja na nafasi ya kila mmoja wenu katila familia, kama mkiweza kukubaliana kwenye haya mamba hayo malalamiko hayawezi kuwepo

La mwisho ni wewe usimamie nafasi yako kama kichwa cha familia, weka misinhi ambayo itaijenga ndoa yako namna unavyopenda, acheni kulalamika
 
Umeandika vizuri sana. Sina sababu ya kupinga ila sasa ukiona wengi wanalalamika haimaanishi wote wanakurupuka. Ukweli kuna wachache ambao wanajua nafasi yao kama mke na wengi sana hawajui nafasi zao kama ulivyosema.
Mwanaume haoi kwa kukurupuka, wengi huwa tunatulia chini kwanza.

Hawa ni watu ambao tunaishi nao hata kama sio kama mke ila tabia haijifichi. Kuna hawa wanaopigania haki sawa na wengi wameamini kwamba kuwa submissive kwa mwanaume ni unyanyasaji, sasa mwanamke wa hivi anaweza kuficha makucha mpaka aolewe.

Elimu humbadilisha sana mtu, kutoka kuwa mjinga mpaka mjanja, zuzu mpaka anaejielewa nk. Elimu ina nafasi sana katika maisha yetu na hasa kwa mwanamke.

Wanawake wengi wakishasoma hujihisi nao ni vidume

Ni kweli kabisa, cha msingi jipe muda wa kumjua vizuri, aina ya malezi aliyoyapata, pengine ametoka kwenye familia ambayo mama alikua na sauti kuliko baba au mama alikua na maamuzi kuliko baba, pengine malezi ya mzazi mmoja, pengine ametoka kwenye maisha ambayo mwanaume haonelani kuwa na thamani, nadhani those are contributing factors

Na pia mjaribu kuwekeana misingi kipindi cha uchumba,nadhani ndio muda mzuro wa kufahamiana na kujadili aina ya maisha mnayopenda kusishi

Ila kama she is well mannerd, na amepata malezi mazuri, hata akiwa na doctorate, bado atatambua kwamba she is only a woman in the house na hotojutia ndoa yako
 
Nina uzoefu wa kuoa wake wawili waliokuwa na masters halafu walikuwa corporate ladies(tulisha achana),
  • kila kitu wanataka usawa
Women want equal rights but not equal responsibility. Try talking about gender equality when it's time to pay for bills or be responsible for something, and you'll be bombarded with all sorts of shaming language. Hadi utaambiwa you're not a "real man".
  • Kutoa papuchi ni mpaka watake wao
Hahahaa, being denied conjugal rights is a ground for divorce. In troubled marriages, many times the woman starts to use sex as a weapon.
  • Kazi zote za nyumbani anafanya house girl hata kutandika kitanda
Kama anamlipa yeye huyu dada wa kazi sawa, ila kama unalipa wewe hapa ndio unaharibu. Yeye ndiye ame-outsource majukumu yake kwa mtu mwingine anapaswa kumlipa huyo aliyempa hiyo tenda.
  • Itabidi ujiandae kuwadunda mara kwa mara au uwapotezee au ukubali kuwa fala
Kwa nini umdunde? au ukubali kuwa fala? When a woman starts to disturb, disorient you in any way financially, emotionally, physically JUST WALK DAMN AWAY. It usually feels like a very bad move especially as human nature is to be afraid of the unknown but believe me it's usually the best decision you will ever make.
 
Sawa. Kwanini tatizo kubwa lipo kwa wasomi na sio hawa ambao hawajasoma licha ya wote kuwa na mazingira yanayofanana kama ulivyoyataja?
Ni kweli kabisa, cha msingi jipe muda wa kumjua vizuri, aina ya malezi aliyoyapata, pengine ametoka kwenye familia ambayo mama alikua na sauti kuliko baba au mama alikua na maamuzi kuliko baba, pengine malezi ya mzazi mmoja, pengine ametoka kwenye maisha ambayo mwanaume haonelani kuwa na thamani, nadhani those are contributing factors

Na pia mjaribu kuwekeana misingi kipindi cha uchumba,nadhani ndio muda mzuro wa kufahamiana na kujadili aina ya maisha mnayopenda kusishi

Ila kama she is well mannerd, na amepata malezi mazuri, hata akiwa na doctorate, bado atatambua kwamba she is only a woman in the house na hotojutia ndoa yako
 
Sawa. Kwanini tatizo kubwa lipo kwa wasomi na sio hawa ambao hawajasoma licha ya wote kuwa na mazingira yanayofanana kama ulivyoyataja?
Wasomi wengi walitoka familia ambazo zipo well off hawana malezi mazuri, ila ukipata wale waliotoka kwenyw background zinazoeleweka uyaona raha
 
Hii ya "well of" labda zamani kabla ya shule za kata kuanza. Ila sasa amini kwamba mwenye akili atasoma tu bila kujali hadhi ya familia yake. Wengine hupotoka shuleni

Atasoma malezi na makuzi yake ni tofauti sana na ya yule wankishua, huyu wa maskini anajua kukata kuni, kupika, kufanya usafi na kukea hata watoto maana hajakua kwenye mazingira ya kuwekewa housegir wanne wa kumfulia hadi chupi, though kuna wengine pia wakisoma wanabadilika kulingana na hali ya maisha
 
1..mwanamke msomi yeye ni mjuaji
2.. Kupenda kusikilizwa yeye badala ya mumewe.
3.. Unapomkataza baadhi ya vitu hujiona kama unamnyima haki ..
4..kitu kidogo tu utasikia of course,, actually,, serious,, not fair,,
Mimi akishaanza hivyo ananivuruga sana..kwa sisi tusiojuwa English.
mwandende kusafiri kote huko Ulaya hujui English?
 
Back
Top Bottom