1.Usomi upo ule wa kumeza yani class alikua kipanga na
2.Usomi upo ule wa kuelewa yani class alikua kipanga pia
Hapo tuna wasomi wawili ambao wote walikua hatari darasani,kundi namba 1 wazee wa kumeza aseee hilo ni jipu mkuuu sio kabisa (sikushauri) ila kundi no.2 ukimpata huyo safi sana ni mke ambae kila mtu anatamani ampate,anatamani awe nae kwasababu (hawakariri,ila wanaelewa)
Kwasababu hakariri anaelewa ukimueleza ukweli atajua ukimdanganya atajua pia,they are smart ila hao wazee wa kumeza pale juu mukulu wangu,papaa mobimba hayo ni majipu.
Mkague mpenzi wako elimu yake uelewa wake darasani upo/ulikua ktk kundi gani ukishajua kundi lake basi changamoto zake kuzijua hutopata shida kuzijua maana zipo wazi wazi tu hata hazijifichi.