Mikopo Chefuchefu
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 3,373
- 6,808
Mwalimu wetu wa Kiswahili marehemu mama Malema aliwahi kutuambia kuwa pisi kali hazisomagi sana!
Ushasema mama yako. Hicho kilikuwa kizazi kingine. Hata hivyo kuna mengi ambayo baba yako labda hajakuambia baada ya mama yako kumaliza shahada yake ya awali.Mama yangu alikua na diploma ya ualimu.. baada hakuishi Miaka mingi na baba yangu..na akiwa na watoto watatu.. baba yangu alimshawishi Mama yangu akasome Degree Kama baba yangu alivyosoma...baba akabaki na watoto Mama akaenda kusoma degree.
hakuogopa Kwamba watalingana elimu au kipato.. Mungu akurehem baba yangu ..hakika Ulifanya vyema...
Nawashangaa vijana wasiojua nafasi zaidi Kama wanaume kuanza kuwaponda waliosoma..
KILA mtu na amchangue amtakae...na atakae ridhika nae regardless of ELimu.
By the way....
Vijana mmekua laini na dhaifu sana hata kwa wanawake, na hii imepelekea kushindwa kusimama kidete kama wanaume na kufikia kujiliza hovyo Hadi kusingizia vyeti vya wanawake vinavyo wapa hofu.
Ebu acheni uvivu, punguzeni unyonge na hofu. Simameni na mtambue nafasi zenu ndani ya ndoa please.....
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kama vipi, muwekee house boy..............[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wengi wao sio submissive 100% vyeti vyao huwaongezea options ktk maisha. Ndoa hudumu zaidi pale mwanamke asipokuwa na options nyingi hasa hasa za kiuchumi, wanawake huolewa for security reasons.
Unafahamu kuwa asilimia kubwa ya wanawake huolewa na wanaume wasiowapenda? Wengi huolewa na best option aliyokuwa nayo kwa wakati husika. Ukitaka kuwa na ndoa yenye furaha hakikisha mwanamke anakuhitaji zaidi wewe na sio vinginevyo.
Mwanamke msomi hataki kutawaliwa, anataka equal power hasa hawa wanaodangangwa na "manungayembe" yanayojiita FeministsHi ndo mentality ya manyanyaso. Ndo nyie mtapiga, mtatukana, mtadhalilisha, mtachepuka mkisema hataenda popote kwao masikini, Hana elimu Hana hela.
Usimlemaze kiuchumi eti ndo utamtawala. Mbona hili la mwanaume kumtawala mwanamke Ni Jambo la Kimungu Wala halina uhusino na kipato Cha mwanake.
Kama mwanaume Nini kinakufanya ushindwe kumsimamia mwanamke.. mwanamke awe na pesa au la...kuwa chini ya mwanaume Ni sheria.
Why utake kwanza ashindwe hata kujinunulia pedi ndo uweze kumsimamia
Huu Ni udhaifu
The only happy marriages I have seen since my childhood are the ones where the man was financially dominant over the woman. I don't mean they married jobless women. No. They married women who could not afford the life they were living, without the man. For example, a doctor marrying a primary school teacher. Both are productive, but the man is dominant. So he holds the instruments of power (money) in that household.
Most men don't understand that women are incapable of loving men the way they love women. Men love selflessly, and women love opportunistically. Once the "opportunities" are over, love flies out of the window. That is why most divorces are filed by women, after men lose their job. That's why marriages where both have almost similar incomes always fail. A woman is incapable of loving and sustaining a relationship with her equal or junior, especially for the long term , despite all the BULLSHIT motivational speakers encourage you to believe.
Umeandika vizuri sana. Nimekuelewa sana. Nadhani wengi watafaidika na comment hiiThe most effective way to control a woman is to control every financial decision in the house. Women understand only one language, financial dominance. Ndio maana unaona most (not all) career women (educated ones) having very shitty marriages and their husbands wanashinda bar kula bia kupunguza stress.
He who has the gold makes the rules, so make sure that she depends on you significantly on finance matters. I expect many beta males (weak guys) and women to be totally against this comment, but I don't care.
For any relationship to succeed, as a man, you must have a more dominant personality, and the instruments of power (money). When she knows that she cannot afford most of the things she currently does without you, she will fall in line.
Nakubaliana na wewe. Na ili uwe na mamlaka lazima umzidi hela na elimu piaMke anapaswa kumtii mume wake, na mume anapaswa kumpenda mke wake.
Yapo mahitaji mengine pia ya msingi ya mke kwa mumewake na kinyume chake pia.
Labda nihitimishe kwa kusema hivi.....
Usomi/mafanikio/ujuaji/cheo kwa mwanamke, haiondoi utii kwa mume wake.
Ikiwa mume utakubali mke awe na mamlaka ndani ya ndoa yao, basi amini hiyo haiwezi ikawa ndoa tena zaidi ya maigizo.
Mkuu, kwangu mimi mke anabaki kua mke tu. Na mamlaka ya mume hayajawahi kua chini ya mke, na ukiona mwanaume yupo/amekubali kua chini ya mamkala ya mke basi amini nakuambia huyo mwanaume atakua ana kilema cha akili.
Pisi kali ya Nikki wa Pili inawakimbiza vibaya huko kwenye mitihani ya CPAMwalimu wetu wa Kiswahili marehemu mama Malema aliwahi kutuambia kuwa pisi kali hazisomagi sana!
I don't think anyone can describe someone as "loser" and love them.Key word: Love Opportunistically.
Hili ni kweli kwa uzoefu wangu binafsi.
No woman can love a loser man japo a man can love a loser woman
well said, mwanamke akishajua unamuogopa ogopa kwa ajili ya usomi wake lazima akupande kichwani na hichi ndo kinawafanya vijana wengi wawahofie wadada wasomiMimi wangu pamoja na hiyo masta, lakini heshima adabu ua utii unatawala zaidi. Tena mimi ni baba, mume mwenye kujivunia zaidi dadadeki.....
Vijana skuizi wamekua waoga sana wa kuoa wasomi, utadhani hizo degeree na masta ndio zinakulwa bed....[emoji3525][emoji3525]
1..mwanamke msomi yeye ni mjuajiWasalaam wanajukwaa hili pendwa.
Niende moja kwa moja kwenye swali, naomba kwa wazoefu ambao mmeoa wanawake wasomi kuanzia shahada ya kwanza (Bachelor's degree) kuendelea, wana changamoto gani hasa kulinganisha na hawa wenye elimu chini ya hapo kwenye ndoa?
Ninyi ni mapacha?
By the way....
Vijana mmekua laini na dhaifu sana hata kwa wanawake, na hii imepelekea kushindwa kusimama kidete kama wanaume na kufikia kujiliza hovyo Hadi kusingizia vyeti vya wanawake vinavyo wapa hofu.
Ebu acheni uvivu, punguzeni unyonge na hofu. Simameni na mtambue nafasi zenu ndani ya ndoa please.....
well said, mwanamke akishajua unamuogopa ogopa kwa ajili ya usomi wake lazima akupande kichwani na hichi ndo kinawafanya vijana wengi wawahofie wadada wasomi
Sure,hata kuongea naye mna uwanja mkubwa wa kuongea tena katika angle mbalimbaliMwanamke msomi anavutia lakini....[emoji846][emoji846]mwisho wa siku....mnabadilishana yaliyojiri boardroom...[emoji6][emoji854]