Wanawake wasomi wana changamoto gani kwenye ndoa?

Wanawake wasomi wana changamoto gani kwenye ndoa?

Hela za kukutosha wewe sio yeye, afu huna guarantee na Mungu, mfungulie hata biashara afanye Kama ndo anachopenda lakin usizime ndoto zake kwa ajili ya ubinafsi wako.
hela nazo za kunitosha mimi na yeye tena na ukoo wake wote kabisa.then mimi nina guarantee na Mungu kama ulikuwa hujui
 
Mkuu kama ulimuoa muda ule tu amemaliza std 7 nadhani anakuwa hajatumika sana. Hata kama ametumika ni kwa kuiba sana lazima arudi alale kwao.

Ila njooo wa masterz ama PhD tokea anaenda olevo anasafiri na msela akifika analala gesti karibia wiki afu ndo aende shule na siku ya kufunga ivyo ivyo.

Akiingia chuo ndo usiseme Nilikuwa nikimpokea begi pale mabibo hostel maana Nilikuwa sikosi sapu napitiliza nalala naye hostel mpaka asubuhi namuonyesha mazingira. Akaenda field huko ni mwendo wa kuwa Mke wa MTU.

Akianza kujua bata za chuo na disco na clubs zote za dar lazima apelekwe na mpaka jumatatu asubuhi anaenda chuoni. Akimaliza discussion usiku anaijiwana Gari anagalagalazwa mpaka asubuhi analetwa na Gari asubuhi SAA 11 ,SAA mbili mnazama naye darasani wewe unamsovia ila kuna sponsor anakula mzigo muda wowote . wewe unahurumiwa kisa unamsovia.
Akitoka hapo ndio unamuoa unajiona kuwa Umepata mke msomi Kumbe umepatikana.

Nilisahau wale wapangao nje ya hostel anapangishiwa nyumba na wazee wenye Nazo ama anaishi na mwanafunzi mwenzake wanakulana wanakula na kusoma pamoja.
Ila mwajuma atakuwa anaiba Mara moja moja.
Yaani kama mwanamke wa chuo kama ulikuwa haumt000mbi wewe, ukalala naye hostel wote mnaenda club pia mpaka field ama kupanga gheto moja huwezi nishawsishi LA sivyo nitao elimu ila sio Mke wakuu.

Nilikuwa nimesahau hawa masterz na PhD wengi wao wanazichukulia nje ya nchi huko wanaishi room moja waafrika wenzao tokea nchi zingine za frika kama Kenya na Uganda.

Afu usiku anajiuza kwa makasino ama anaburudisha wazungu ama mbwa wao. Yaani akishapanda ndege huko huko anawaza kuipata partner. Yaani wewe msomi muogope , anakuaga nyumbani kuwa ana safari ya kikazi afu kazini anaaga kuwa anaumwa anaenda kula bata bagamoyo.
Unaweza ukampigia simu mwanaume yuko kifuani mwake ila akakufokea kuwa yupo na bosi wake wanaongea mambo ya kiofisi.
Ila MIE mwajuma wangu wa LA saba b hawezi nidanganya mana MIE mwenyewe ndiye bosi wake nimemuajiri kwa biashara ma kazi zangu.
Ila mkuu wasomi ni wazuri
Jipe moyo, tena mnaowaacha home na hawachoki ndo wanakitembeza kwa bodaboda na wapaka rangi kucha balaaa, manake wanakua mwili unaihitaji Sana as Hana mawazo yoyote. Hiyo Ni tabia ya mtu tu. Watu wamemaliza masters na bikra zao🤣
 
Hawa mademu hawaaminiki hasa mademu kutoka familia maskini+uneducated/little educated...
Waambie, nimegundua wanaume mnakua kujipa moyo sanaaaa, laiti mngekua mnamjua mwanamke vizuri mngewachoma na kuishia jela kila siku. Ni Bora mbali hivyo hivyo
 
Jipe moyo, tena mnaowaacha home na hawachoki ndo wanakitembeza kwa bodaboda na wapaka rangi kucha balaaa, manake wanakua mwili unaihitaji Sana as Hana mawazo yoyote. Hiyo Ni tabia ya mtu tu. Watu wamemaliza masters na bikra zao🤣
Watu wamemaliza masters zao na nini zao. Usinichekeshe . undergraduate sawa wapo mpaka wanaume ila ni 3%
 
Waambie, nimegundua wanaume mnakua kujipa moyo sanaaaa, laiti mngekua mnamjua mwanamke vizuri mngewachoma na kuishia jela kila siku. Ni Bora mbali hivyo hivyo
Mimi mwanamke nilienae nimeanza nae mahusiano mwaka 96 tukiwa form one, alisoma mpaka chuokikuu,Mimi pia nikasoma.Miaka ya hivi karibuni alaiamua kwenda kuongeza masters china (Me degree ilinitosha sitaki kabisa mambo ya kusoma),lakini mpaka leo familia yetu unaendelea vizuri.

Kimsingi tabia ya mwanamke haina uhusiano wowote na elimu yake. Anaweza asiwe na elimu, ila akawa pasua kichwa. Kinachotakiwa ni kuchagua mnaeendana na kuelewana, na kama uko serious na una utimamu wa akili, Ni vyepesi sana kugundu madudu ya mwenzi wako kabla hamjafika huko mbali kwenye swala la ndoa.
 
Yaan you are the best, wanaume wanaojiamin na kujielewa Kama wewe Ni wachache sanaaa. Mungu azidi kuwabariki mzeeke pamoja. Mwanaume akiwa na hofu ya Mungu Ina impact kubwa Sana kwenye familia na jamii
 
Kimsingi ukiona mwanamke/mwanaume amekushinda, basi huyo sio fungu lako. Trust me huyo anaekushinda kwa tabia fulani, Kuna mtu mwingine anaeweza kumatch nae vizuri na wakafika mbali Sanaa. Sema Ni ngumu Sana kujua yupi Ni sahihi na yupi sio,kwahiyo kwenye harakati za kutafuta unaeza kukutana nao hata 10 na wote wasiwe fungu lako.Hapo Sasa ndo inapelekea watu wengi ku generalize kwamba watu fulani wote hawafai😃.
 
The most effective way to control a woman is to control every financial decision in the house. Women understand only one language, financial dominance. Ndio maana unaona most (not all) career women (educated ones) having very shitty marriages and their husbands wanashinda bar kula bia kupunguza stress.

He who has the gold makes the rules, so make sure that she depends on you significantly on finance matters. I expect many beta males (weak guys) and women to be totally against this comment, but I don't care.

For any relationship to succeed, as a man, you must have a more dominant personality, and the instruments of power (money). When she knows that she cannot afford most of the things she currently does without you, she will fall in line.
Nimetulia kusubir m2 mwenye hii almas marapap ukaja wew. Hawa wa2 itakuja siku watajustify kuwa ushoga ni kusaidiana majukum kwa bed believe ma Nigga ,nikisikia mwanamke hana elimu kabisa na kwao ni gogoro kiuchumi namuwahi mapema kabla hajakutana na mamaniacs kama haya yanayotetea ujinga halaf yanajifarij et nafas ya mwanamke itabak vilevile hata awe na pesa yaan umpe adui silaha halaf ubak unajifarij eti akileta nyoo nampora hiyo bastola muda wowote wakat yey anaitaka hiyo hiyo akumalize. kwa wasiojua ni hiv kuna uadui mkubwa sana na mbaya kat ya wanaume na wanawake kuliko wa dini ndio maana alipokula tunda akafanya juu chini mwanaume asiende mbinguni akampa na alikuwa na uwezo wa kumkinga Mwanaume lakin alivyo na roho ya ajabu akaamua kuangamiza kila kitu, huwa naamin kuwa hakuna mapenzi ya dhat baina ya mwanaume na mwanamke tena waliozaliwa tofaut huwa ni vimazoea vya kindez na kujiendekeza tu ila wote tunaliana timing tu as long as wote ni wabinafsi kila mmoja anataka apossess power over the other, Nakaribisha kuelewa tu, mapovu mkalowekee bikini na boxer mlizotembelea kwenye semina za women empowerment and some other shitty stuffs. ndio ni bikini na boxer maana kwenye hizo semina wapo wanaume wanaoenda na wake na wapenz wao kuonesha jins ukomavu wa udhaifu wao ulivyo.
 
Ngoja waje kukupa muongozo...
Nadhani watakua wanawahi kuondoka na wanachelewa kurudi majumbani mwao...

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom