Wanawake wasomi wana changamoto gani kwenye ndoa?

Wanawake wasomi wana changamoto gani kwenye ndoa?

All of all ukiwa mume lazma utambue majukum yako na mwanamke hatakiwi kukupanda kichwani wala kudai haki sawa hata awe na centgred nini degree ye umemuoa ili aje akuongezee ndugu zako tu maana ukishazaa nae watoto ndo ndugu zako wewe
Tatizo la vijana wengi hawajui nafasi zao ndani ya nyumba kama mume.
Mke ni mke, na atabaki kwenye nafasi yake kama mke, hata akiwa amesoma hadi akageuza vitabu vyote vikafika mwisho.
Vijana wengi wamekosa kujiamini, na wanajiona kana kwamba hawatoshi kuoa hao wanawake wenye degeree na masta...[emoji12][emoji12]
 
Mimi wangu pamoja na hiyo masta, lakini heshima adabu ua utii unatawala zaidi. Tena mimi ni baba, mume mwenye kujivunia zaidi dadadeki.....
Vijana skuizi wamekua waoga sana wa kuoa wasomi, utadhani hizo degeree na masta ndio zinakulwa bed....[emoji3525][emoji3525]
Mwanamke msomi anavutia lakini....[emoji846][emoji846]mwisho wa siku....mnabadilishana yaliyojiri boardroom...[emoji6][emoji854]
 
Wasalaam wanajukwaa hili pendwa.

Niende moja kwa moja kwenye swali, naomba kwa wazoefu ambao mmeoa wanawake wasomi kuanzia shahada ya kwanza (Bachelor's degree) kuendelea, wana changamoto gani hasa kulinganisha na hawa wenye elimu chini ya hapo kwenye ndoa?
Changamoto kubwa ya kuoa Wanawake Wasomi ni kuwa wengi wao ni wajinga mno tena wamefika mbali katika ujinga ulio komaa kwa kuona ya kuwa Elimu zao ndiyo kila kitu, halafu Elimu zenyewe wanazo jifaragua nazo haziwafundishi hata namna ya kula vizuri. (Kama kuna mwanamke msomi humu aje nimuonyeshe ujinga wake ulipo)

Hili hatuwalaumu, sababu mapambio yalizidi sana katika elimu zao.
 
Jurjani !!!!!!
 
Wanapenda 50% kwa 50% ukimwambia basi nunua sukari utasikia mimi sio baba mwenye nyumba, ongeren mliooa hizo digrii na mastazi
Huwa nawaambia asili haipotei, ona wanarukaruka katika makongamano yao,vikao na kampeni mwisho wa siku asili inachukua nafasi yake, na kurudisha mambo kwa watu wake ambao ni sisi.

Hawa wake zetu, hawatakiwi kuachwa wenyewe hata kama wao hawataki maana ukiwaacha wenyewe lazima wataharibu tu.
 
Changamoto kubwa ya kuoa Wanawake Wasomi ni kuwa wengi wao ni wajinga mno tena wamefika mbali katika ujinga ulio komaa kwa kuona ya kuwa Elimu zao ndiyo kila kitu, halafu Elimu zenyewe wanazo jifaragua nazo haziwafundishi hata namna ya kula vizuri. (Kama kuna mwanamke msomi humu aje nimuonyeshe ujinga wake ulipo)

Hili hatuwalaumu, sababu mapambio yalizidi sana katika elimu zao.
Umeandika kwa hasira sana, utadhani hautawasomesha daughters zako.
 
Umeandika kwa hasira sana, utadhani hautawasomesha daughters zako.
Huwezi amini katika kile nilichokiandika nikiwa nime relax mno, na hapa nina kinywaji murua kiitwacho "al Qasus" taratiibu.

Wanangu watasoma ila nitawapa na ile Elimu ambayo mashuleni na vyuoni hawaipati. Yaani nitawatoa tongo tongo.

Vipi lakini mzime weye.....!??
 
Back
Top Bottom