Story yako imeisha au itaendelea ?Mama yangu alikua na diploma ya ualimu.. baada hakuishi Miaka mingi na baba yangu..na akiwa na watoto watatu.. baba yangu alimshawishi Mama yangu akasome Degree Kama baba yangu alivyosoma...baba akabaki na watoto Mama akaenda kusoma degree.
hakuogopa Kwamba watalingana elimu au kipato.. Mungu akurehem baba yangu ..hakika Ulifanya vyema...
Nawashangaa vijana wasiojua nafasi zaidi Kama wanaume kuanza kuwaponda waliosoma..
KILA mtu na amchangue amtakae...na atakae ridhika nae regardless of ELimu.
Sent using Jamii Forums mobile app