Nina uzoefu wa kuoa wake wawili waliokuwa na masters halafu walikuwa corporate ladies(tulisha achana),
- kila kitu wanataka usawa
- Hawafui nguo za mme---ukimwambia nifulie hata boxer na yeye atakwambia umfulie chupi zake
- Hawana muda wa kupika , wanasema kazi za ofisini zinawachosha
- Kutoa papuchi ni mpaka watake wao
- Kazi zote za nyumbani anafanya house girl hata kutandika kitanda
- Wakiwa nyumbani muda wote kwenye simu au TV
- Itabidi ujiandae kuwadunda mara kwa mara au uwapotezee au ukubali kuwa fala
NB: Kama ni msomi halafu anahela kukuzidi au mnalingana , ule msemo wa tuishi nao kwa akili hauna mashiko unless ukubali kuwa fala tu
Huyo mmoja nilimdundaga mpaka nikapata kesi