BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Mkuu watu wanachukua maneno ya vijiweni na kudhani wanawake wote wasomi kuanzia bachelor degrees hadi Phds ni wakorofi sana kwenye ndoa zao na kama vile hao ngumbaru la saba na wengineo ndoa zao ziko PERFECT na zinadumu milele kitu ambacho si kweli hata kidogo.Mkuu, hii sio kweli hata kidogo