Wanawake wasomi wana changamoto gani kwenye ndoa?

Wanawake wasomi wana changamoto gani kwenye ndoa?

Wengi wao sio submissive 100% vyeti vyao huwaongezea options ktk maisha. Ndoa hudumu zaidi pale mwanamke asipokuwa na options nyingi hasa hasa za kiuchumi, wanawake huolewa for security reasons.

Unafahamu kuwa asilimia kubwa ya wanawake huolewa na wanaume wasiowapenda? Wengi huolewa na best option aliyokuwa nayo kwa wakati husika. Ukitaka kuwa na ndoa yenye furaha hakikisha mwanamke anakuhitaji zaidi wewe na sio vinginevyo.
Hi ndo mentality ya manyanyaso. Ndo nyie mtapiga, mtatukana, mtadhalilisha, mtachepuka mkisema hataenda popote kwao masikini, Hana elimu Hana hela.

Usimlemaze kiuchumi eti ndo utamtawala. Mbona hili la mwanaume kumtawala mwanamke Ni Jambo la Kimungu Wala halina uhusino na kipato Cha mwanake.

Kama mwanaume Nini kinakufanya ushindwe kumsimamia mwanamke.. mwanamke awe na pesa au la...kuwa chini ya mwanaume Ni sheria.

Why utake kwanza ashindwe hata kujinunulia pedi ndo uweze kumsimamia

Huu Ni udhaifu
 
Hebu imagine mtu awe submissive kwakua aanataka umpe hela ya pedi...na mtu ambae anayo hela ya pedi alafu bado ni submissive bado anakutii kama mume..

Mwanaume unalazimisha mwanamke kuwa submissive kwa kumlemaza kiuchumi..wakati mwanamke kuwa submissive Ni sheria Wala haiitaji nguvu nyingi kumfanya awe submissive kwa mwanamke anaejielewa.
 
Ila ni bora kuwa na mwanamke msomi asee, Kuna mahala Wana usaidizi Sana kwa Familia.
Sana Kaka...Mimi hili nimelishuhudia katika familia yetu.

Wanaume wanakuwaje na inferiority complex.wakati mwanamke kaumbiwa mwanaume...yaani mwanaume unaogopa Nini.
 
Changamoto kubwa ya kuoa Wanawake Wasomi ni kuwa wengi wao ni wajinga mno tena wamefika mbali katika ujinga ulio komaa kwa kuona ya kuwa Elimu zao ndiyo kila kitu, halafu Elimu zenyewe wanazo jifaragua nazo haziwafundishi hata namna ya kula vizuri. (Kama kuna mwanamke msomi humu aje nimuonyeshe ujinga wake ulipo)

Hili hatuwalaumu, sababu mapambio yalizidi sana katika elimu zao.
Mara nyingi Wanawake wasomi wanapenda kukupima, ukimlegezea ndiyo imetoka hiyo!!
 
Mara nyingi Wanawake wasomi wanapenda kukupima, ukimlegezea ndiyo imetoka hiyo!!
Sidhani Kama Ni wanawake wasomi..nadhani Ni wote...Siku anakuweka kibao...unakaa kimya TU unacheka cheka...Akirudia Tena ..ukaendelea kucheka cheka..Basi jua huo ushakuwa utaratibu.

Mwanaume Ana mset mkewake vile anavyotaka awe.
What you allow is what will prevail.
 
Punguza uoga mkuu.
Ukisha oa, unapaswa kusimama kama mume na baba mwenye nyumba, na hayo ma degeree pamoja na masta zake zinaishia mlangoni kila anapo rejea home
You can stay that again a billion times Mkuu. Thank you! 👊🏽👊🏽👊🏽👍🏽
 
Hi ndo mentality ya manyanyaso. Ndo nyie mtapiga, mtatukana, mtadhalilisha, mtachepuka mkisema hataenda popote kwao masikini, Hana elimu Hana hela.

Usimlemaze kiuchumi eti ndo utamtawala. Mbona hili la mwanaume kumtawala mwanamke Ni Jambo la Kimungu Wala halina uhusino na kipato Cha mwanake.

Kama mwanaume Nini kinakufanya ushindwe kumsimamia mwanamke.. mwanamke awe na pesa au la...kuwa chini ya mwanaume Ni sheria.

Why utake kwanza ashindwe hata kujinunulia pedi ndo uweze kumsimamia

Huu Ni udhaifu
The only happy marriages I have seen since my childhood are the ones where the man was financially dominant over the woman. I don't mean they married jobless women. No. They married women who could not afford the life they were living, without the man. For example, a doctor marrying a primary school teacher. Both are productive, but the man is dominant. So he holds the instruments of power (money) in that household.

Most men don't understand that women are incapable of loving men the way they love women. Men love selflessly, and women love opportunistically. Once the "opportunities" are over, love flies out of the window. That is why most divorces are filed by women, after men lose their job. That's why marriages where both have almost similar incomes always fail. A woman is incapable of loving and sustaining a relationship with her equal or junior, especially for the long term , despite all the BULLSHIT motivational speakers encourage you to believe.
 
Hebu imagine mtu awe submissive kwakua aanataka umpe hela ya pedi...na mtu ambae anayo hela ya pedi alafu bado ni submissive bado anakutii kama mume..

Mwanaume unalazimisha mwanamke kuwa submissive kwa kumlemaza kiuchumi..wakati mwanamke kuwa submissive Ni sheria Wala haiitaji nguvu nyingi kumfanya awe submissive kwa mwanamke anaejielewa.
The most effective way to control a woman is to control every financial decision in the house. Women understand only one language, financial dominance. Ndio maana unaona most (not all) career women (educated ones) having very shitty marriages and their husbands wanashinda bar kula bia kupunguza stress.

He who has the gold makes the rules, so make sure that she depends on you significantly on finance matters. I expect many beta males (weak guys) and women to be totally against this comment, but I don't care.

For any relationship to succeed, as a man, you must have a more dominant personality, and the instruments of power (money). When she knows that she cannot afford most of the things she currently does without you, she will fall in line.
 
The only happy marriages I have seen since my childhood are the ones where the man was financially dominant over the woman. I don't mean they married jobless women. No. They married women who could not afford the life they were living, without the man. For example, a doctor marrying a primary school teacher. Both are productive, but the man is dominant. So he holds the instruments of power (money) in that household.

Most men don't understand that women are incapable of loving men the way they love women. Men love selflessly, and women love opportunistically. Once the "opportunities" are over, love flies out of the window. That is why most divorces are filed by women, after men lose their job. That's why marriages where both have almost similar incomes always fail. A woman is incapable of loving and sustaining a relationship with her equal or junior, especially for the long term , despite all the BULLSHIT motivational speakers encourage you to believe.
I get your point.
 
I get your point.
Safi. Mwanzo ulinielewa nje ya mstari kabisa. Mama yangu alikuwa storekeeper wakati baba alikuwa daktari. Kuna kitu kikubwa sana nilijifunza juu yao na familia zingine zilizokuwa zinatuzunguka.

When you take away the bullshit and lovey dovey nonsense of young couples, the real reason many relationships last for long is because the man is always in a superior position financially and intellectually compared to the wife. The wife always needs the man financially and intellectually, otherwise she is gone. That is how she sees value in him.
 
Mama yangu alikua na diploma ya ualimu.. baada hakuishi Miaka mingi na baba yangu..na akiwa na watoto watatu.. baba yangu alimshawishi Mama yangu akasome Degree Kama baba yangu alivyosoma...baba akabaki na watoto Mama akaenda kusoma degree.

hakuogopa Kwamba watalingana elimu au kipato.. Mungu akurehem baba yangu ..hakika Ulifanya vyema...

Nawashangaa vijana wasiojua nafasi zaidi Kama wanaume kuanza kuwaponda waliosoma..

KILA mtu na amchangue amtakae...na atakae ridhika nae regardless of ELimu.
🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾 Excellent contribution.
 
Naomba uniulize swali, ingawa sipo hapa kuisemea ndoa yangu mkuu.
On top of that, kwanza una mke..??
Maana nisije nikajikuta nabishana na hewa hapa....
Japokuwa umenikwepa kiaina. Hizo information za kuoa or not.. nitakupa baada ya ww kujibu swali langu
 
Samahani mkuu, kama unamaanisha mahusiano ni sawa.
Lakini kwenye ndoa kamwe hakuna equallity, bali mume ni kichwa cha nyumba and mume na mke kila mmoja anapaswa kuwajibika na kuitambua nafasi yake katika ndoa
Sijasema kuwa mwanaume hawajibiki. Unaweza kuta unawajibika vizuri tu.
Ila mwenzako anakuwa na kimbele mbele cha kutaka mamlaka sawa na ww.
Mwanamke kwenye ndoa awe amesoma au lah lazima aujue mwanaume ndio kiongozi always..
Kamwe usimruhusu akupande kichwan hata kama ana elimu yake.
 
Mke anapaswa kumtii mume wake, na mume anapaswa kumpenda mke wake.
Yapo mahitaji mengine pia ya msingi ya mke kwa mumewake na kinyume chake pia.
Labda nihitimishe kwa kusema hivi.....
Usomi/mafanikio/ujuaji/cheo kwa mwanamke, haiondoi utii kwa mume wake.
Ikiwa mume utakubali mke awe na mamlaka ndani ya ndoa yao, basi amini hiyo haiwezi ikawa ndoa tena zaidi ya maigizo.
Mkuu, kwangu mimi mke anabaki kua mke tu. Na mamlaka ya mume hayajawahi kua chini ya mke, na ukiona mwanaume yupo/amekubali kua chini ya mamkala ya mke basi amini nakuambia huyo mwanaume atakua ana kilema cha akili.
 
Japokuwa umenikwepa kiaina. Hizo information za kuoa or not.. nitakupa baada ya ww kujibu swali langu
Kwanza nikukumbushe tu mkuu....
Kuoa hakujawahi kua na formula.
Na hapa naona vijana wamekua wakiwaogopa wadada wasomi kwa kuhofia tu.
Mwanamke akijitambua, always atamtii mume wake pasipo kujalisha kama ana vyeti ama hana vyeti.
Mkuu, ndoa ni kitu tofauti kabisa. Na usifananishe ndoa with masters or PhD.
 
Wote wako sawa tofauti tyu ni kwamba amekulia malezi gani

Ila alosoma IT mtihani lazma aku huck hata akiwa amesoma cheti
 
Back
Top Bottom