Wanawake wasomi wana changamoto gani kwenye ndoa?

Wanawake wasomi wana changamoto gani kwenye ndoa?

Wasalaam wanajukwaa hili pendwa.

Niende moja kwa moja kwenye swali, naomba kwa wazoefu ambao mmeoa wanawake wasomi kuanzia shahada ya kwanza (Bachelor's degree) kuendelea, wana changamoto gani hasa kulinganisha na hawa wenye elimu chini ya hapo kwenye ndoa?
Punguza uoga mkuu.
Ukisha oa, unapaswa kusimama kama mume na baba mwenye nyumba, na hayo ma degeree pamoja na masta zake zinaishia mlangoni kila anapo rejea home
 
Sidhani kama kutakuwa na jibu sahihi....
Labda atokee mwanamme aliyeoa wake wawili...
Mmoja mwenye kiwango cha juu na mwingine mwenye kiwango chini cha elimu...
Ndio tutapata jibu karibia na sahihi...

Ndoa zetu za sasa zinaangalia mambo ya nje kuliko yaliyoko moyoni....
 
All of all ukiwa mume lazma utambue majukum yako na mwanamke hatakiwi kukupanda kichwani wala kudai haki sawa hata awe na centgred nini degree ye umemuoa ili aje akuongezee ndugu zako tu maana ukishazaa nae watoto ndo ndugu zako wewe
 
Hii hatari sana. Inabidi wabadilike
Hata wasipobadilika unawageuza singo mama unatupa kule unatafuta anayejua maana ya ndoa mnafanya maisha!

Hii dunia mambo ya kufanya ni mengi sana kiasi expectancy ya umri inapungua kila iitwapo leo na mengine nahisi hatutayamaliza so kuanza kuumiza kichwa kumbadilisha mtu mzima mwenzako tabia ni kupoteza wakati tu.
 
Back
Top Bottom