Omerta
JF-Expert Member
- Jan 3, 2016
- 6,157
- 7,822
kuna wale wanasukia weaving limevunda anawashwa kichwani anajipigapiga kichwa kama anajaribu nazi nzima au koroma.
Dah umeuwa balaa
kuna wale wanasukia weaving limevunda anawashwa kichwani anajipigapiga kichwa kama anajaribu nazi nzima au koroma.
MI sina kiwigi si waona avatar....Ninyooshe kidole juu kumthibitishia kuwa nakupenda?
muulize babu Asprin anajua anachonipendeaWewe unaangukia namba gani au zipi?
wanaume ni wambea kuliko wanawake walahiWambea
walaaa sion tabuKitambi noma
Siwezi toa siri za chumbani. Nilipitia jandoni mie.....muulize babu Asprin anajua anachonipendea
Avatar ndo picha yako halisi? OMG!!! ..... Kumbe nna bahati hivi???MI sina kiwigi si waona avatar, p
toa ufafanuz no. 4Wanaume wasiotuvutia 2016
1:kutuweka kwenye uchumba sugu Ni kupotezeana muda
2:kuficha siri Sana hasa simu
3:ubahili
4:kukojoa kama kuku
mengine endeleza Heaven Sent na Evelyn Salt
hahahaha unaogopa kuibiwa eeeh hayaSiwezi toa siri za chumbani. Nilipitia jandoni mie.....
hahahaha ni mie bhanaaaaAvatar ndo picha yako halisi? OMG!!! ..... Kumbe nna bahati hivi???
Nimemuuliza amesema anakupendea 0713muulize babu Asprin anajua anachonipendea
haya safi sanaNimemuuliza amesema anakupendea 0713
ombeni msaada wa kukunwa PretaHa ha ha.....loh......sasa kama je kidole hakiingii kwenye ngozi......mtuwacheeeeeee........tujikune.....
Sasa kumbe ulifikiri mi lofa? Mi mjanja kama madiwani wa ukawa Daslam....a
hahahaha unaogopa kuibiwa eeeh haya
heeeee najutraaaSasa kumbe ulifikiri mi lofa? Mi mjanja kama madiwani wa ukawa Daslam....
Badala ya kufurahi? Wanawake wengine bhana...!heeeee najutraaa
wivu umenikaba tatizo langu kubwa ninawivuuu mpaka bhaas ule wa kunoa roho mmmhBadala ya kufurahi? Wanawake wengine bhana...!