Blue G
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 5,339
- 3,672
Simplicity mwaka jana uliwachukia wa aina gani? I cant wait to see the list of 2017
YAANI NIMECHEKA SANA DUH.. HUU NI UKWELI USIO PINGIKAkuna wale wanasukia weaving limevunda anawashwa kichwani anajipigapiga kichwa kama anajaribu nazi nzima au koroma.
hahaaar hongera, kitu natural!!! A.k rangi ya mtumenashkuru mungu sijajaaliwa hiyo akili ya kupaka mkorogo never
hahaaar hongera, kitu natural!!! A.k rangi ya mtume
unapaka lakini akipita mwenye kiwigi tena kilichovunda unamkodolea macho na wakwako hela ya saluni unampa mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu wote mliotuponda najua ndo mnavyovipenda mnazuga tuumi wigi! Mungu amewapa nywele nyie mnajiwekea mi wigi ya misukule! mnajipendekeza kwa wazungu! mnatishaga kweli na midude yenu iyo kichwani!
Kama mie jamani mwanamke anayejichubua huwa simwelewi kabisa na hata mwanamme anayamchukua mwanamke aliyechibua namshangaa........Hiyo Number 4 nakuunga mkono kabisa! Hivi wanawake mbona hamjiamini na uasilia wenu? Busy kumkosoa Mungu!!! Ninawachukia sana wanawake wanaojichubua!!! Khaaaaa! Aibu yao!!!🙁🙁🙁🙁
unatakiwa uwe natural! mnalazimisha kuwa na nyele ambazo hamna! iyo sio akili bhana! sikuizi tunapenda wanawake natural sio artificial!unapaka lakini akipita mwenye kiwigi tena kilichovunda unamkodolea macho na wakwako hela ya saluni unampa mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu wote mliotuponda najua ndo mnavyovipenda mnazuga tuu
Hahaaaaa .......dah utakuww mtu busy kujipiga kichwani ......hahaaaakuna wale wanasukia weaving limevunda anawashwa kichwani anajipigapiga kichwa kama anajaribu nazi nzima au koroma.
Kwasababu ni swala la kuvutia tu,basi tuongeze..
12. Wenye tunyonyo kama ndo tunaota kumbe wanamiaka thelathini...hawavutii kabisa
Kuna vitu vipo ndani ya uwezo wa binadam na vingine havipo......hili lako ni mojawapo......na nyie ndo mnafanyaga baadhi ya wanawake wasijiamini kutokana na maneno yenu haya......Kwasababu ni swala la kuvutia tu,basi tuongeze..
12. Wenye tunyonyo kama ndo tunaota kumbe wanamiaka thelathini...hawavutii kabisa
Ndiooooooo,.akachonge wake kwa Fundi seremalaheeeee kuna wanaotupenda atii
Nyie mnasema tuu hapa muonekane lakini nyuma ya pazia madem zenu full artificial kuanzia Kucha hadi kope...mwenyewe uckute artificial[emoji85]unatakiwa uwe natural! mnalazimisha kuwa na nyele ambazo hamna! iyo sio akili bhana! sikuizi tunapenda wanawake natural sio artificial!
KITAMBI NINACHO SAAANA NYAMA CHOMA NA CASTLE KWA SAAAANA HAPA JOB WAMEANZISHA PROGRAM YA MAZOEZI NIMEITOLEA NJE NAKIPENDA KITAMBI CHANGU NA NINAKIGHARAMIA NYAMA NA BIA ASIYEKIPENDA ATAJIJUA
Ndio maana mnatusumbua wakati wa kushuka busKITAMBI NINACHO SAAANA NYAMA CHOMA NA CASTLE KWA SAAAANA HAPA JOB WAMEANZISHA PROGRAM YA MAZOEZI NIMEITOLEA NJE NAKIPENDA KITAMBI CHANGU NA NINAKIGHARAMIA NYAMA NA BIA ASIYEKIPENDA ATAJIJUA
Ujumbe umekufika hakuna mkamilifu [emoji3] [emoji3]Hapo weng tu wanaingia kweny orodha hyo, ila nahic mm cpo