Hahaaa..dah, leo akikutumia picha wasap akiwa na wigi lake, then baada ya mwezi akatuma picha bila wigi unaweza kukataa kuwa sio yeye!!Hawa ndio wezi wakubwa maana anabadilisha muonekano wake wote akitoa wigi unaweza kumkataa
Hahaaaaa...... Uwiiiiiiiikuna wale wanasukia weaving limevunda anawashwa kichwani anajipigapiga kichwa kama anajaribu nazi nzima au koroma.
Mnataka yale ya kichina?? Hayo ni maumbile ya mtu kama ilivyo kwa sehemu nyingine za mwili huwezi kubadilisha, ukibadilisha yanakuwa fake... Fake zone!!Duuuh...Mkuu hapo umesema. Siwapendagi wanawake wahivyo...hivi sababu ni nini hasa mwanamke anakosa kifua chenye boobs zaa ukweli?
Teh kumbeeeeHujawahi kuona jogoo linavyomwaga mkojo kwenye tundu la mtetea? Yani full fastaaa!
Mkuu hiyo namba 9 unaijuaje?Wanawake wafuatao hawanivutii kabisa mwaka huu wa 2016:
1. Wenye vitambi
2. Wenye matumbo yaliyojitokeza pembeni kama chura amebanwa na mlango
3. Wenye matako flat cha ajabu ni lepelepe
4. Waliojichubua mpaka mishipa na ngozi vinageuka kuwa blue (aaagggrrrr)
5. Wanywa pombe
6. Wanaopenda kubugiabugia vyakula kama nguruwe
7. Waliojazia misuli halafu wanavaa nguo ya mikono iliyokatwa huku wakionekana kama mabaunsa
8. Wanaojamba ovyo (aaaghhhgggrrrr)
9. Wanaovaa chupi nzito kama gunia, pamoja na joto lote hili
10. Wakorofi na wanaopenda ligi
11. Waropokaji
Nikirudi nitaongeza list na kuwaambia kwa nini hawavutii.
Haya lipia tuition fee kabla sijakutungia mtihani mgumuTeh kumbeeee
kuna wale wanasukia weaving limevunda anawashwa kichwani anajipigapiga kichwa kama anajaribu nazi nzima au koroma.
Teh Tuma account number fasta babuHaya lipia tuition fee kabla sijakutungia mtihani mgumu
Wezi wa kielektroniki watakomba visenti vyote. Hebu twende PM tukafanye yetu kisirisiri...Teh Tuma account number fasta babu
Aaah hapo safi babu[emoji14] [emoji14]Wezi wa kielektroniki watakomba visenti vyote. Hebu twende PM tukafanye yetu kisirisiri...
No 5 ina uhusiano wowote na sisi??No 5 utaniwuwaa.....nichukie mpaka ukufweeee......lazima nilipe kodi........
Ewaaa.... uchafu si kitu kizuri. Tukutane sehemu safi na salama. Natangulia ole wako usije...Aaah hapo safi babu[emoji14] [emoji14]
Wanawake wafuatao hawanivutii kabisa mwaka huu wa 2016:
1. Wenye vitambi
2. Wenye matumbo yaliyojitokeza pembeni kama chura amebanwa na mlango
3. Wenye matako flat cha ajabu ni lepelepe
4. Waliojichubua mpaka mishipa na ngozi vinageuka kuwa blue (aaagggrrrr)
5. Wanywa pombe
6. Wanaopenda kubugiabugia vyakula kama nguruwe
7. Waliojazia misuli halafu wanavaa nguo ya mikono iliyokatwa huku wakionekana kama mabaunsa
8. Wanaojamba ovyo (aaaghhhgggrrrr)
9. Wanaovaa chupi nzito kama gunia, pamoja na joto lote hili
10. Wakorofi na wanaopenda ligi
11. Waropokaji
Nikirudi nitaongeza list na kuwaambia kwa nini hawavutii.
Wewe unaangukia namba gani au zipi?heeeee kuna wanaotupenda atii
No 5 ina uhusiano wowote na sisi??