Kule Kwetu
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 3,157
- 1,907
Umbo namba 9 au umbo P.#12.wenye umbo la cobra
Umbo namba 9 au umbo P.#12.wenye umbo la cobra
Asipoitoa unambie nimlibe ban iliyoenda shuleHaina.....aiondoe hapo.....haistahili eneo hilo kabisa......labda akolee na no 4.......
List yooote hii waipeleka wapi?Wanawake wafuatao hawanivutii kabisa mwaka huu wa 2016:
1. Wenye vitambi
2. Wenye matumbo yaliyojitokeza pembeni kama chura amebanwa na mlango
3. Wenye matako flat cha ajabu ni lepelepe
4. Waliojichubua mpaka mishipa na ngozi vinageuka kuwa blue (aaagggrrrr)
5. Wanywa pombe
6. Wanaopenda kubugiabugia vyakula kama nguruwe
7. Waliojazia misuli halafu wanavaa nguo ya mikono iliyokatwa huku wakionekana kama mabaunsa
8. Wanaojamba ovyo (aaaghhhgggrrrr)
9. Wanaovaa chupi nzito kama gunia, pamoja na joto lote hili
10. Wakorofi na wanaopenda ligi
11. Waropokaji
Nikirudi nitaongeza list na kuwaambia kwa nini hawavutii.
unaonekana unapenda wanaume wewe
Unakuta janajike linafakamia mavitimoto+mindizi ya kukaanga+Bia,unadhani hapo ataacha kuwa na lishape linalofanana na nguruwe?
Kitambi nomaKITAMBI NINACHO SAAANA NYAMA CHOMA NA CASTLE KWA SAAAANA HAPA JOB WAMEANZISHA PROGRAM YA MAZOEZI NIMEITOLEA NJE NAKIPENDA KITAMBI CHANGU NA NINAKIGHARAMIA NYAMA NA BIA ASIYEKIPENDA ATAJIJUA
Wanaopenda masinema ya ngono....an absolute turnoff.
Nimewahi kukutana na msichana below 22
akaniambia hanywi beer kabisa....only spirits
her favourite vodka....what about that type?
Walevi na wavuta sigara nao ni turnoff.
We demu anakunywa hadi analewa chakari....come on.
Very unattractive.
Nimewahi kukutana na msichana below 22
akaniambia hanywi beer kabisa....only spirits
her favourite vodka....what about that type?
Mimi nilijiuliza kusema hanywi beer only vodka
ina maana beer haimleweshi tena or what?
si vodka is more strong?au sikumuelewa?