Wanawake wasionivutia kabisa 2016

Wanawake wasionivutia kabisa 2016

Wanawake wafuatao hawanivutii kabisa mwaka huu wa 2016:

1. Wenye vitambi

2. Wenye matumbo yaliyojitokeza pembeni kama chura amebanwa na mlango

3. Wenye matako flat cha ajabu ni lepelepe

4. Waliojichubua mpaka mishipa na ngozi vinageuka kuwa blue (aaagggrrrr)

5. Wanywa pombe

6. Wanaopenda kubugiabugia vyakula kama nguruwe

7. Waliojazia misuli halafu wanavaa nguo ya mikono iliyokatwa huku wakionekana kama mabaunsa

8. Wanaojamba ovyo (aaaghhhgggrrrr)

9. Wanaovaa chupi nzito kama gunia, pamoja na joto lote hili

10. Wakorofi na wanaopenda ligi

11. Waropokaji

Nikirudi nitaongeza list na kuwaambia kwa nini hawavutii.
Utakua mpigaji tu wewe, sasa hawa wote utawapendaje ndugu yangu maana kichwa chako umeweka wanawake
 
Sipendi wanawake wanaotumia mkorogo. Sipendi kabisa.
 
Wanaume wasiotuvutia 2016
1:kutuweka kwenye uchumba sugu Ni kupotezeana muda
2:kuficha siri Sana hasa simu
3:ubahili
4:kukojoa kama kuku
mengine endeleza Heaven Sent na Evelyn Salt
nakupenda we mdada ila nimeshindwa kukutungia nyimbo nzuri ya mapenzi sijui hata nitasema nakupenda nani maana ID yako tatizo
 
Sitaki nikosoe natural creation ambayo Mungu amempa mtu. Lakini WIGI ... Khaaa! Yaani hapo yaani nakerwa mno.. Pia mwanamke anayejichubua... dah! Sijawahi ku-date na mwanamke wa aina hii, nakereka mno.
 
Wanawake wafuatao hawanivutii kabisa mwaka huu wa 2016:

1. Wenye vitambi

2. Wenye matumbo yaliyojitokeza pembeni kama chura amebanwa na mlango

3. Wenye matako flat cha ajabu ni lepelepe

4. Waliojichubua mpaka mishipa na ngozi vinageuka kuwa blue (aaagggrrrr)

5. Wanywa pombe

6. Wanaopenda kubugiabugia vyakula kama nguruwe

7. Waliojazia misuli halafu wanavaa nguo ya mikono iliyokatwa huku wakionekana kama mabaunsa

8. Wanaojamba ovyo (aaaghhhgggrrrr)

9. Wanaovaa chupi nzito kama gunia, pamoja na joto lote hili

10. Wakorofi na wanaopenda ligi

11. Waropokaji

Nikirudi nitaongeza list na kuwaambia kwa nini hawavutii.
Mkisemaga hv mtoe na picha zenu. I hav a friend bf wake hapend wanawake wenye matumbo ila yeye mwanume ana tumbo kama ana utapiamlo na ni mfupi balaa. Nilikua nacheka tu
 
Aiseee! Hiyo namba 9 ndo funga kazi alafu umezipanga kama wachezaji uwanjan.
 
Back
Top Bottom