Wanawake wasionivutia kabisa 2016

Wanawake wasionivutia kabisa 2016

Umesahau moja, wale wanao tia shushu za kichwani kuongeza nywele zao asubuhi wanakuachia kwenye kitanda
 
Wanawake wafuatao hawanivutii kabisa mwaka huu wa 2016:


1. Wenye vitambi

2. Wenye matumbo yaliyojitokeza pembeni kama chura amebanwa na mlango

3. Wenye matako flat cha ajabu ni lepelepe

4. Waliojichubua mpaka mishipa na ngozi vinageuka kuwa blue (aaagggrrrr)

5. Wanywa pombe

6. Wanaopenda kubugiabugia vyakula kama nguruwe

7. Waliojazia misuli halafu wanavaa nguo ya mikono iliyokatwa huku wakionekana kama mabaunsa

8. Wanaojamba ovyo (aaaghhhgggrrrr)

9. Wanaovaa chupi nzito kama gunia, pamoja na joto lote hili

10. Wakorofi na wanaopenda ligi

11. Waropokaji

Hii ni kwa humu tu:

12. Wenye majina mabaya humu hata kama sio ya kweli (mfano mwanamke anajiita figisufigisu) na walioweka avatar mbaya, na ambao avatar zao hazishabihiani na contents,

a) e.g flora msoffe kaweka kama ya Luku** wakati yeye mwanamke (cheki uso, pua na alivyokunj mdomo),

b) Mwingine kaweka avatar ya kidiplomat lakini maongezi yake yote ni kama ya Hadija mchambaji wa Tandale

14. Wanaotoa milio mibaya wakati wa tendo, utadhani au wanaoguna tu utadhani bibi anatafuna tumbaku

Nikirudi nitaongeza list na kuwaambia kwa nini hawavutii.
Duuh! !!! Wanaume wa humu mmenishinda tabia
 
unatakiwa uwe natural! mnalazimisha kuwa na nyele ambazo hamna! iyo sio akili bhana! sikuizi tunapenda wanawake natural sio artificial!
wewe mwenyeweee asilimia 90 wana viwigi na mko nao unasema nn wewe wacha urongo
 
Back
Top Bottom