Wanawake wasiojua kukata mauno

Wanawake wasiojua kukata mauno

Hongereni Kwa kuwaza ngono asubuhi asubuhi, sie tupo makazini tunajenga taifa. Na tutakapo kuwa matajiri, msituzushie kuwa sie mafreemasons maana hamchelewi. Nyie endeleeni kukata viuno Kama wacheza sindimba
Sio kila mahali duniani ni muda sawa na ulipo wewe....wengine muda huo usiku...
 
Kama mauno ndo sehemu ya kumtuliza mpenzi basi kuanzia leo nitakatika kama feni mbovu sitaki utani,namalizia ujuzi wangu wote.napita zangu tu
 
Jamani mwanamke unatia aibu kukata mauno hauwezi, kazi nayo huwezi,ukiingia dakika zote umelalaga tu kama gogo, mapenzi ni raha na
sio karaha, khaaa! Shtukeni jamani.
Dhakari zingine ukizikatikia ndio tiketi ya kutozaa...punda haoni ndani.
Kiuno kata wewe....nami nikusifie
 
Back
Top Bottom