wanawake wasio na shukrani

wanawake wasio na shukrani

notifeki

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2013
Posts
402
Reaction score
283
Wanawake wengine hamna shukrani kabisa eti mtu nimempa gari, nampa hela ya mafuta, nampa hela ya vocha, nampa hela ya shoping, sasa hv amenibeep mara tano kwenye simu. Na akija nmnyang'nya gari langu then namtosa akawabeep wajinga wenziye. Vocha nimempa elf20.
 
Notifeki,
storifeki!
 
Kime umanaa apo?
Kanunua simu kampa demu walivyo achana kampokonyaa?
Areareare
mmh ngoja niendele nakazi nilikua napita tu apa.
 
Mkuu notifeki mbona tulikubaliana hawa viumbe tusiwahonge tunawalemaza.
 
Uko sahihi molembe. Ila kuna wale waliopitiliza uzuri. Inabidi utengeneze ulimbo wa kumnasa kirahisi then unamtosa.
 
Mnyang'anye gari lako pia pesa ya vocha
arudishe haraka yaani hata kujiongeza
hajui....
Anakubeep pia simu kama ulimnunulia
chukua Kiongozi najua kapima maji
kwa kunitosa bila kutumia mtu kwanza.
 
Wanawake wengine hamna shukrani kabisa eti mtu nimempa gari, nampa hela ya mafuta, nampa hela ya vocha, nampa hela ya shoping, sasa hv amenibeep mara tano kwenye simu. Na akija nmnyang'nya gari langu then namtosa akawabeep wajinga wenziye. Vocha nimempa elf20.
Nani alikudanganya Magari, fedha na Vocha zinanunua mapenzi.....Mwenzio ana wa moyoni mwake wanasaidia kutosoa mapene unayompa.....tehe tehe teheeeeeeeeeee ukiona kabeep tena mtumie laki kwani 20 hazimtoshi kulonga ya kimahaba na laazizi wake.
 
Gawa mwaya pedenjee wa nguvu mwachie vyote bana is umeshampa?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom