wanawake wasio na shukrani

wanawake wasio na shukrani

na hatampata mtu tushamjua..........,kama anataka wa kuhonga wanapatikana Buguruni Malapa
eti kama ana magari ma 3 afanyaje
where are you UNDENIABLE uje umuone huyu kijana wako

nipo mumiii ....... namwona kijana wangu hapo anatupiga sarakasi!!!!!
 
Wanawake wengine hamna shukrani kabisa eti mtu nimempa gari, nampa hela ya mafuta, nampa hela ya vocha, nampa hela ya shoping, sasa hv amenibeep mara tano kwenye simu. Na akija nmnyang'nya gari langu then namtosa akawabeep wajinga wenziye. Vocha nimempa elf20.
Dawa yake rahisi sana mpatie notifeki kama elfu hamsini!.
 
Last edited by a moderator:
Wanawake wengine hamna shukrani kabisa eti mtu nimempa gari, nampa hela ya mafuta, nampa hela ya vocha, nampa hela ya shoping, sasa hv amenibeep mara tano kwenye simu. Na akija nmnyang'nya gari langu then namtosa akawabeep wajinga wenziye. Vocha nimempa elf20.
Hayatuhusu. This is your private business.
 
Nani alikudanganya Magari, fedha na Vocha zinanunua mapenzi.....Mwenzio ana wa moyoni mwake wanasaidia kutosoa mapene unayompa.....tehe tehe teheeeeeeeeeee ukiona kabeep tena mtumie laki kwani 20 hazimtoshi kulonga ya kimahaba na laazizi wake.

wewe Tamatheo umeanza lini hii tabia mbaya ya kusema ukweli ........
 
Last edited by a moderator:
Wanawake wengine hamna shukrani kabisa eti mtu nimempa gari, nampa hela ya mafuta, nampa hela ya vocha, nampa hela ya shoping, sasa hv amenibeep mara tano kwenye simu. Na akija nmnyang'nya gari langu then namtosa akawabeep wajinga wenziye. Vocha nimempa elf20.

kwa muda gani hizo vocha unatoa mkuu?
 
wewe Tamatheo umeanza lini hii tabia mbaya ya kusema ukweli ........

Huyu jamaa ana mawazo kama ya wanangu wa below 5yrs....yeye anafikiri kupendwa kunahitaji mbwembwe za hela, wapendwaji wanakula na kuhongwa ili waongeze nguvu kwa ajili ya mechi nyingine.
 
wale wanaojifanya wana misimamo kwenye public au kama humu jf ndo wanaongoza kwa kuhonga.
 
Huyu jamaa ana mawazo kama ya wanangu wa below 5yrs....yeye anafikiri kupendwa kunahitaji mbwembwe za hela, wapendwaji wanakula na kuhongwa ili waongeze nguvu kwa ajili ya mechi nyingine.

underlined hapo nouma!!!!
 
Wanawake wengine hamna shukrani kabisa eti mtu nimempa gari, nampa hela ya mafuta, nampa hela ya vocha, nampa hela ya shoping, sasa hv amenibeep mara tano kwenye simu. Na akija nmnyang'nya gari langu then namtosa akawabeep wajinga wenziye. Vocha nimempa elf20.
kweli hawana shukutani kabisa sijui umewaokota wapi
cc: Madame B unamkumbuka huyu notifeki
 
Last edited by a moderator:
If that is true unatumika balaa

Fungua macho uone labda uko dunia nyingine na hii tuliopo wengine.

pole if and if this is true story.
 
Back
Top Bottom