Mnawezaje kuwa na mahusiano na wanawake wasioomba hela kabisa

jjs2017

JF-Expert Member
May 25, 2019
2,023
4,213
Salaam sana ndugu zangu.

Najua mahusiano ya sasa hela imewekwa mbele na hawa dada zetu kausha damu kama siyo roho ya mtu basi hela ipo mbele kwa mbele nasiyo vinginevyo.

Kwa mantiki hii ndugu zangu wana Jf mimi nakuja kwenu naombeni ushauri yapata na wanawake kadha wa kadha naombwa hela kubwa kubwa na baadhi wananiomba kiduchu tena kwa manati sana huku wakiwa na hofu mioyoni mwao kasoro tuu kuna mabinti wawili katika list yangu hawajigusi kuniomba hela wala kuomba chochote kile kwangu

Ndugu hawa wanawake wangu wawili wapo kinyume sana na wenzao katika research zangu mpaka naona hapa kama kuna njemba zitakua zinanisaidia kunitunzia na sijui watakua na mimi kwenye haya mahusiano kwa malengo gani haswa

Hawa wanawake hawaombi hela kabisa mpaka naona hapa kama na ibiwa ndugu zangu, siyo hela ya kusuka, siyo ya sadaka, siyo vocha, siyo vizawadi, siyo hela ya hanasa za hapa na pale, siyo mavazi kwa namna zake, siyo simu, wala chochote kile , hakika hawaombi hata kidogo japo hawa wenzao ambao hawajuani kabisa wanaomba tuu ila kwao naona kabisa hela haiombwi

Imefika mbali zaidi naona kabisa hapa kutakua kuna mtu ana hudumia bila mimi kujijua hakika, ndugu zangu wanawake hawa wawili ambao nipo nao kimahusiano nikinyume kabisa na wenzao kwa tabia zao hizi mpaka napata na mashaka mashaka nao na akili yangu imekua na msongo sana wa mawazo nikijiuliza sana kwanini hawaombi hela hawa hata nikitaka mzigo napewa murua tuu ila swala la hela au kuomba chochote hakipo kwenye akili zao kabisa.

Kwa upande wangu chachu ya mahusiano nao naona sasa inapotea kabisa maana wakati mwingine nikitoka nao out mmoja mmoja bila kujijua nawapa hela nakuwaambia hii utatumia kama nauli na nyingine kwa vitu vidogo vidogo ila nashangaa na rudishiwa chenchi na list ya matumizi aliyofanya ana nitumia kwa meseji ,

wakati mwingine nawatumia vihela hela ila naulizwa nimetuma hela ya nini na nikisema nimempa kama mpenzi wangu na ambulia kurudishiwa muhamala wa hela niliyo tuma kama ilivyo mpaka na ogopa sana kwa kweli

Ndugu mimi sasa nimechoka tabia yao, na hisi hapa naibiwa kabisa bila kujijua au nimeyaweka maisha yangu rehani kwa sababu haiwezekani wanawake wote waniombe hela kasoro hawa tuu hawaombi.

Mimi nafikiria kuwachoka sasa na sijui wenzangu kama mna sample za wanawake wa design hii mnaishije nao kwa kweli.

Ndugu zangu hebu nipeni mawili matatu isije ikawa natumiwa kama njia ya kuwakojoza ili hali wanawanaume wao wano wahudumia na kuwafanya wasiniombe hela kabisa.
 
Ni kweli kaka yangu,
ila umeona mtoa mada amesema ana wapenzi wangapi, ukianza kuhudumia wanawake let's say watatu tu, (kwa maneno ya OP wapo zaidi ya hao), utapiga hatua kweli kwenye maisha..?
Huenda ana kipato kikubwa

But pia kuna watu hata hawawazi kupiga hatua . Hivi unajua kibarua anayepandisha zege ghorofa ya pili pesa yake inapoishia?

Hapo ndio utaelewa kwa nn huwa tunatoa tu
 
Huenda ana kipato kikubwa

But pia kuna watu hata hawawazi kupiga hatua . Hivi unajua kibarua anayepandisha zege ghorofa ya pili pesa yake inapoishia?

Hapo ndio utaelewa kwa nn huwa tunatoa tu
kuna watu hawana plan kubwa za maisha, nakubaliana na wewe kabisa..!!

Kuna pahala alisema ni wale wa kupanda juu kwenye nguzo za umeme, you can get the answer there..!!
 
kuna watu hawana plan kubwa za maisha, nakubaliana na wewe kabisa..!!

Kuna pahala alisema ni wale wa kupanda juu kwenye nguzo za umeme, you can get the answer there..!!
pesa zetu men huwa sometimes zinaishia sehemu ambayo hata usingetegemea.

Kuna jamaa alitoka kwenye mission zile za kulinda amani huko congo, imagine katoka vitani kalipwa pesa kaenda kumnunulia mchepuko IST
 
Back
Top Bottom